naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,854
- 5,273
Ukikua utaachakupeana tuu ashki na nyege Za ajabu me kwel siwez vumilia ntamtia angalau kidole huyo mwanamke.
Ukikua utaachakupeana tuu ashki na nyege Za ajabu me kwel siwez vumilia ntamtia angalau kidole huyo mwanamke.
unamanisha nini mkuu? miaka30 mtoto kweli?Ukikua utaacha
Kwamba utaacha kutamani ziwa la mama anaponyonyeshaunamanisha nini mkuu? miaka30 mtoto kweli?
KabisaSio vyema kila mtu kiona maziwa yako kisa wamnyonyesha mtoto
Huku kwetu ukinyonyesha hadharani utafurahi,Kuna kitu inaitwa zongo,ikimpata mtoto Wako utatamani kumgawaWatu wazima wanakula hadharani na hakuna yeyote anayewazuia kufanya hivyo.
Vichanga navyo vina haki ya kula hadharani tukumbuke maziwa ya mama ni chakula kwao wakati wengine wana mawazo kwamba maziwa ya mama hayastahili kuonyeshwa hadharani kwa sababu ambazo hazina msingi inapokuja kwenye kunyonyesha watoto hadharani.
Kuna baadhi ya nchi wasichana kuanzia miaka 16 wako huru kutembea maziwa wazi lakini wakati huo huo akina mama wenye watoto hawaruhusiwi kunyonyesha hadharani!!!!
Huku kwetu ukinyonyesha hadharani utafurahi,Kuna kitu inaitwa zongo,ikimpata mtoto Wako utatamani kumgawa
Kwahiyo mtoto ateseke njaa kwasababu ya nyie wapita njia? Such a nonsense!For real I dont have anything against our beloved mothers but it sucks and just makes me sick.
Utakuta mama ananyonyesha ukimwangalia(macho hayana pazia) ana throw such a disgusting look kama vile you asked her anyonyeshe.
I dont mean to offend anyone but just find better locations u breastfeed ila sio publicly. It's not right kabisa.
huku Arusha ukinyonyesha mtoto nje au hata ndani ILA akiwa anaangaliwa na watu flani siku hiyo hulali mtoto analia Sana na anakuwa na kama vichomi tumboni,sasa ukishaona hayo kama hujui cha kufa ya unaweza mpiteza mtoto,Kwenu wapi huko Mkuu? Hii zongo ni kitu gani Mkuu? Funguka kwa kina Mkuu.
huku Arusha ukinyonyesha mtoto nje au hata ndani ILA akiwa anaangaliwa na watu flani siku hiyo hulali mtoto analia Sana na anakuwa na kama vichomi tumboni,sasa ukishaona hayo kama hujui cha kufa ya unaweza mpiteza mtoto,
chakufanya
1.inatakiwa umtafute yule aliye kuwepo wakati unantonyesha,ili amtemee mate mtoto,na akifanya hivyo Tu linaisha hapohapo
2.kama hukumuona inatakiwa uwe na magadi na chumvi unachanganya kwenye maji na kumuogesha mtoto,atashtuka Sana kama aliyetoka usingizini ukimuweka kwenye hayo maji na pengine atalia sana lakin hiyo itakuwa pona yake.
Zongo Ni uchawi WA macho,unaweza kuwa unajijua au usijijue

me kwa upade wang kimaadili haipo sawa.Sawa mkuu, lakini pia kimaadili ipo sawa kweli?
I second you mkuume kwa upade wang kimaadili haipo sawa.
Hapo sasa umeshindwa kutumia busara mkuuz nani kaweka hisia mbayaWanaume toeni hisia mbaya kwa wa mama wanao nyonyesha.acheni ujogoo wenu