kunyimwa tendo la ndoa

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
kama umeoa na siku moja mkeo anakuambia hawezi kukupa tendo la ndoa kwavile hana uhakika ikiwa unampenda utafanayaje?

pia nini haswa kinachofanya mtu aseme anapenda na ikiwa mahusiano yenu kwa mambo mengine yako sawa yaani hamjawahi kugombana wala nini imefika usiku muheshimiwa unadai chakula cha usiku mkono unatolewa unatupwa huko ukiuliza kulikoni ndio unajiwa kuwa huwezi kupewa chakula cha usiku kwavile huyo mkeo hajui ikiwa unampenda !!!
 
labda hujamnunulia zawadi mkeo sikinyingi...wanawake wanapenda kudekezwa, halafu umwambie kama unampenda kila siku... morning kisses and hugs... mpigie simu muulizie hali yake, mwambie umemkumbuka, muonyeshe kama unampenda... sasa nyie ni kazi ya kitandani tuu wajameni... it doesnt work that way with us bana...

and yes you should know how to put her in mood b4 ile kitu...
 
Mhhhh......

Sometimes kuwa na mwanamke ni kama umepata ajira nyingine.
Anytime u can be fired.
 
labda hujamnunulia zawadi mkeo sikinyingi...wanawake wanapenda kudekezwa, halafu umwambie kama unampenda kila siku... Morning kisses and hugs... Mpigie simu muulizie hali yake, mwambie umemkumbuka, muonyeshe kama unampenda... Sasa nyie ni kazi ya kitandani tuu wajameni... It doesnt work that way with us bana...

And yes you should know how to put her in mood b4 ile kitu...

sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????

Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....

While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........
 
hahaha calm down the boss (ile cigar ya cuba umeimaliza?)

yani u call that usumbufu? kitu gani apo ni usumbufu?
 
hahaha calm down the boss (ile cigar ya cuba umeimaliza?)

yani u call that usumbufu? kitu gani apo ni usumbufu?

si huo usumbufu wa kunitaka nikubembeleze kwanza....
wakati we both enjoy it???
ile cohiba nimemaliza.
wewe vipi wavuta cigar?
 
sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????

Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....

While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........

...crazy to make you up! so be crazy to make her up too, so that you both enjoy!
 
sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????

Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....

While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........

Umbembeleze kama vile anakufanyia favour! pamoja na kuwa naye anafurahia tendo hilo. Ni maajabu lakini ni kweli kabisa. Wanawake wanaotumia tendo la ndoa kama silaha za kuwaadhibu waume wao wana kasoro kubwa sana.
 
labda hujamnunulia zawadi mkeo sikinyingi...wanawake wanapenda kudekezwa, halafu umwambie kama unampenda kila siku... morning kisses and hugs... mpigie simu muulizie hali yake, mwambie umemkumbuka, muonyeshe kama unampenda... sasa nyie ni kazi ya kitandani tuu wajameni... it doesnt work that way with us bana...

and yes you should know how to put her in mood b4 ile kitu...

nadhani something is wrong with women of these later days.............. they are too weak!!! ............... mtu mzima kila wakati anataka kudekezwa tu???.......... rafiki yangu noname yeye alishasema kbisa namna anavyodeka!!!............. isnt this weakness............ how long should we rule over you women?? and still you continue to become weaker and weaker??? how weak will you become at the end??.......... we are tired of rulling weak adults, we want the strong ones........... the ones with the capacity to reason sexual matters not to be cheated............. who enjoy a realationship with kiddings!!!........... hah!!!!!!!!!........
 
Katika hali ya kawaida sioni ni vipi mkeo anakunyima tendo la ndoa... lazima kuna tatizo kati yenu au mmoja wenu. Mwanandoa akifikia hatua anaanza kutumia tendo la ndoa kama 'silaha' au 'object of trade' nadhani ndoa inakuwa hatarini sana. Jaribu kuongea nae na kama hizo sababu anazotoa utaona ni reasonable basi mrekebisha na muendelee kuenjoy ndoa yenu. Otherwise, ukiona inazidi sana mwonyeshe mlango wa kutokea tu!
 
si huo usumbufu wa kunitaka nikubembeleze kwanza....
wakati we both enjoy it???
ile cohiba nimemaliza.
wewe vipi wavuta cigar?

Sio usumbufu its natural thing..thats what a good man do for his wife/girlfriend... ofcourse both of u enjoy sex...but for us women small things matters ... like gifts or kiss, or hug
 
The Boss Sio usumbufu its natural thing..thats what a good man do for his wife/girlfriend... ofcourse both of u enjoy sex...but for us women small things matters ... things like gifts or kisses or hugs are very small things u can do to ur woman and she will be very happy.. when she is happy she will make u happy too. Kama hujui kudekeza mkeo ujue hii ndio sababu unafukuzwa kitandani... dont come crying here mke wangu hivi mke wangu vile lol ...
 
Umbembeleze kama vile anakufanyia favour! pamoja na kuwa naye anafurahia tendo hilo. Ni maajabu lakini ni kweli kabisa. Wanawake wanaotumia tendo la ndoa kama silaha za kuwaadhibu waume wao wana kasoro kubwa sana.
kwni kunatabu gani kubembeleza? au kudekeza... I think it is very sweet
 
Ndo maana dini zingine zimeruhusu kuoa zaidi ya mmoja kuepusha haya,

if you cant handle one I wonder how will u be able to handle two... easy to say...special when u r thinking with ur D...

SOrry if i offended u...
 
am crazy enough to dirvoce her and marry another woman....
ooow may be u never love her after all so she will be better off without u ... u would rather go thru a hellfire divorce than make up with her? well u do that then ..hahhaa
 
Back
Top Bottom