Kunyanyasika kwangu mie unlucky hili sio jina langu natumia tu

ndo mana leo nimerudi tena kuomba msaada wa mwisho manake nikimwambia mama anasema vumilia tu utaenda wapi utawalea vipi hao watoto watatau unanini nikimwambia mwingina ananiambia watoto waachie huyo mnyama awalee mwenyewe wewe kaanze maisha yako ukiwa peke yako utahangaika lakini na watoto utateseka watoto wake leo hataki hata kunioa sura yangu kafahamishwa na kaka yake lakini ye yupo pale pale kama mie basi jamani nifanye nini watoto niwasaliti nimwachie nisonge mbele kuliko kufanywa kama mnyama manake hata nikikimbia nao yeye anawataka watoto wake manake mara nyingi kasema we ondoka watoto waachie hapahapa mie nitawalea nikimwambia mwingine ananiambia ukichukua watoto utapata tabu mpaka dunia utaiona chungu gharaama zao utatoa wapi na utamwachia mwanya ya huyu bwana kustarehe nifanyeje hebu nisaidieni
Kumbe watoto anawataka? Siamini! Hao watano wako wapi? Unao wewe au anawalea wapi? Ikiwa hao watano kawatupa, hao wako watatu unadhani atawalea?

Kama ni kweli hilo la kutaka watoto, kumbe amekuwachia njia nyeupe! Lakini hiyo sio case, cha kufanya ni kuondoka hapo bila ya kutizama nyuma. Watoto ikiwa anawataka au hawataki, hiyo si shauri yako. Wewe sepa. Kaanze maisha mapya.
 
Watoto umwachie nani?
Kama wale watano aliwatelekeza na hao atawatelekeza na mama wa kambo, hebu beba watoto uondoke naye au mfukuze yeye we si unawatoto.

Kwanza una miaka mingapi maana unanitoa povu kweli?

mimi nauliza wapendwa hivi kama je niondoke mimi nimwachie hawa watoto au vipi nikaanze maisha mapya au niwachukue watoto but hapo huyu bwana hatanipa chocjote kile kama now alivyokuwa amefungia kila kitu
 
Sometimes ni kujinyanyasa yeye mwenyewe, wala sio kunyanyaswa kwa sababu ye ndo anakaribisha manyanyaso!! Dah........kuna watu wanajichukia jamani mweeh!!

Umeona eeh; mwenyewe hujithamini unategemea mwingine akuthamini?

Kuhusu watoto, ningeweza kukushauri umuachie (kumkomoa) ila kama una roho kama ya kwangu, huwezi kuwaacha watoto wako kwa baba kama huyo. Ni bora uhangaike nao; kwanza watakuwa sababu ya wewe kuwork hard!

Hivi ustawi wa jamii hawapo (nilisahau kuwa hili linchi ni corrupt to the maximum); tumia ushauri wa TB, mtimue yeye akuachie nyumba ili uwalee wanao.
 
Inawezekana we ndo ulisababisha Mke mwenzio akaachika sasa zamu yako pole weeeeeeee
 
mimi nauliza wapendwa hivi kama je niondoke mimi nimwachie hawa watoto au vipi nikaanze maisha mapya au niwachukue watoto but hapo huyu bwana hatanipa chocjote kile kama now alivyokuwa amefungia kila kitu

Usiwache watoto wako hata siku moja, nenda nao po pote, kula ugali bila mboga lakini una watoto wako. Hiyo ndiyo investment yako ya uzeeni binti.

Na hao watoto ni WAKO siyo wake kwani hajakuoa na wala hana shida nao. NA WEWE NDIYE UNAYEJUA BABA YAO NI NANI lakini mama hakuna mwengine ni wewe tu. Anakutisha na wewe unatishika jikaze mtoto wa kike wacha ujinga, au unaogopa kwa kuwa ni foreigner?

Kwanza huyo ni wa kumtengenezea zengwe akaondolewa kabisa nchini. Halafu eti amekufanya ni kitega uchumi na kukuwachia na watoto wake umleleee. Mama wee kuna watu wajinga humu duniani maana hayo siyo mapenzi (samahani kwa lugha yangu mbovu).

Nakwambia tena kimbia kabla hujaletewa ukimwi binti.
 
hii kali! Lakini usikimbia kifo kinakunyemelea.usiogope shida nenda kauze ata maji kwanini bana aaghh maisha popote.
 
mimi nauliza wapendwa hivi kama je niondoke mimi nimwachie hawa watoto au vipi nikaanze maisha mapya au niwachukue watoto but hapo huyu bwana hatanipa chocjote kile kama now alivyokuwa amefungia kila kitu
ikitokea leo akafa utawaleaje?jiulize mke mkubwa hakumwachia watoto,mimi siwezi achia wanangu mwanaume,tena wa dizain hiyo,umeusahau uchungu?Kuhusu matumizi nenda ustawi wa jamii kamshitaki.
 
Umeona eeh; mwenyewe hujithamini unategemea mwingine akuthamini?

Kuhusu watoto, ningeweza kukushauri umuachie (kumkomoa) ila kama una roho kama ya kwangu, huwezi kuwaacha watoto wako kwa baba kama huyo. Ni bora uhangaike nao; kwanza watakuwa sababu ya wewe kuwork hard!

Hivi ustawi wa jamii hawapo (nilisahau kuwa hili linchi ni corrupt to the maximum); tumia ushauri wa TB, mtimue yeye akuachie nyumba ili uwalee wanao.

Tatizo unlucky ana kaunyonge flani, sijui anamgwaya huyo jamaa kwa kuwa ni foreigner?? Jamani, aifanyie kazi TAMWA, USTAWI......asiache watoto kwa mume wa namna hii. Kwenye mambo kama haya mtu asipokuwa kauzu atajutia mwenyewe.
 
Mbona miaka 29 kwa mwanamke inatosha kabisa hata kuongoza nchi?
Kwani foregner ndo nini?
Tena huyo mlaini hata kumbambika skendo na kumng'oa kabisa nchini

au hauishi TZ uko nchi ya ugenini?
Au umekua uiwa spoon fed?

Sipayuki najaribu kukuelewa na kuvaa viatu vyako afu sioni chalenji unayopata.
Mfukuze hapo kwenye nyumba tena mfukuze hasa.
mimi na miaka 29 na watoto wa kwanza wapo na mama watatu na wawili wapo hapa kwangu naishi nao wakubwa miaka 16 na huko kwao anao mke wa kwanza wakike 3 kawatekeleza na mke wa huko pia kashamwacha hana uhusiano nae lakini talaka hajampa huyu jamaa ni foregner si mtanzania na kuhusu watoto hawa amesema kamwe huwapati watalelewa
 
Aisee, now l remember ur story (ulivyomention mumeo ni foreigner. Bado wafanya nini? Nimeamini sikio la kufa halisikii dawa. Chochote utakachoamua; amua sasa hivi, huna muda tena. Mark my words!
 
jamani mie sio chanzo cha mke wa kwanza kuachika mwenyewe huyo mwanamke katafuta bwana nje kafumwa ndo maana sasa huyu bwana hatamtaki mie alinikubali tu mie niende ustawi wa jamii iko wapi na process zake zinakuwaje na kuhusu watoto kashaniambia sitakupa nitawalea mwenyewe kwani mama za watato wengine wakizaa na kufa wale watoto wanallewa na nani si wanakuwa ndo anasema huyu bwana kama popote utapowachukua mie sitakubali

Jamani muelekezeni huyu dada hizi ofisi zilipo!! Fanya ufanyayo mradi uhakikishe unaondoka na wanao, usikubali kumuachia kwa vitisho vyake!!! Hilo ndo la muhimu.
 
shit,wapumbavu kama hao ndo wanatuharibia jina wanaume..mama maji umeshayaoga hamna haja ya kujilaumu.usiogope kuanza upya huyo jamaa atakuua nakuambia.jjaribu kufuatilia kisheria uone haki gani we na watoto mtapata halafu usepe fasta.usimthamini binadamu mwengine kuliko uhai wako...
 
Back
Top Bottom