Kunyang'anywa kadi

Biera

JF-Expert Member
Dec 7, 2010
464
78
Mwenyekiti wa CCM,ndugu Yakaya Kikwete amedai kuwa moja ya maamuz ya mkutano mkuu ni kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama na iwapo watakaidi watawajibishwa(na kunyang'anywa kadi).Je Jk ataweza? maana katoka miezi mi3 wakina EL,CHENGE NA RA au ni mkwala 2? Naomba kuwasilisha. Source.Mwananchi la leo.
 
Walichotaka kukifanya tayari hao EL,RA,CNG nikuweka uwanja sawa ilawaliotaka kuwatoa nihao wengine kwani hawa baadae wataandika barua zautetezi wanawezakurudi!!Ila hawa wengine ndo waliokuwa wanawataka kutoka kwenye hiyo secritarieti.
 
Mwenyekiti wa CCM,ndugu Yakaya Kikwete amedai kuwa moja ya maamuz ya mkutano mkuu ni kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama na iwapo watakaidi watawajibishwa(na kunyang'anywa kadi).Je Jk ataweza? maana katoka miezi mi3 wakina EL,CHENGE NA RA au ni mkwala 2? Naomba kuwasilisha. Source.Mwananchi la leo.

Jk amnyang'anye EL kadi! Hlo haliwezekani na nakubaliana na wadau wanaosema hilo ni changa la macho na 2nadanganywa 2,ngoja 2subiri hyo miezi mi3 tupate kuona.
 
Sounds familiar - wezi wa EPA. Watu wamekosa, mna ushahidi, miezi mitatu ya nini? Halafu anazungumzia maamuzi magumu. Ningemwelewa kama yeye angechukua uamuzi wa kujiuzulu kwa kuwa ameshindwa kuongoza serikali, CCM inasambaratika na nchi inagawanyika vipande vipande (dini, ukabila, kanda). He is the most divisive leader Tanzania would ever have>
 
Mwenyekiti wa CCM,ndugu Yakaya Kikwete amedai kuwa moja ya maamuz ya mkutano mkuu ni kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe wenyewe kwenye uongozi wa chama na iwapo watakaidi watawajibishwa(na kunyang'anywa kadi).Je Jk ataweza? maana katoka miezi mi3 wakina EL,CHENGE NA RA au ni mkwala 2? Naomba kuwasilisha. Source.Mwananchi la leo.

Ngoja kwanza niicheki hiyo mwanchi
 
Back
Top Bottom