Kunusana

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na mapafumu duh hii kali ya wiki nimeipata wandugu
 
Ni vizuri ili kale katabia kako ka kuchelewa kurudi nyumbani na kutandika bakora hovyo uache
 
Mbona hayo ni mambo ya kawaida. Wakati mwingine mtu anataka kumaliza wasi wasi wake. Ila omba usinuswe wakati kweli una harufu ya uwanja wa ugenini.

Wasiliana na Teamo atakusaidia jinsi ya kukwepa hicho kitanzi.
 
Jipake kinyesi chako dakika mbili kabla hujakutana na mnusaji. Ulaji wa ugali kwa choroko siku moja kabla ya mechi ya ugenini inasaidia kuifanya dawa hii iwe na nguvu zaidi.
 
:becky::becky::becky::becky:
 
Siku zote nimekuwa nikisema binadamu bado hajaweza kupita vizuri ngazi ya unyama, habari kama hizi zinanidhihirishia hilo kwa\ kiwango cha mambo yanayotokea kila siku na pengine kukoswa na majarida ya kisayansi na kiantropojia.
 
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na mapafumu duh hii kali ya wiki nimeipata wandugu
mkuu mpaka hapo ujue uaminifu kwa shemeji juu yako umeshuka sana na lazima utakuwa unachunguzwa kwenye simu, chupi n.k badili mwenendo wako
 
Kimbweka karibu kwenye kile chama chetu wala hautapata shida kwenye mambo kama hayo nitawasiliana na wapwaz TEAMO, ASPRIN, KAIZER ili nione watakusaidia vipi
 
Umenuswa wapi? Kwa kweli :confused2::confused2::confused2::confused2:

Jipake kinyesi chako dakika mbili kabla hujakutana na mnusaji. Ulaji wa ugali kwa choroko siku moja kabla ya mechi ya ugenini inasaidia kuifanya dawa hii iwe na nguvu zaidi.

Duh....! Hii kali...! Ukijipaka vya ugenini inakuaje?
 
Kimbweka karibu kwenye kile chama chetu wala hautapata shida kwenye mambo kama hayo nitawasiliana na wapwaz TEAMO, ASPRIN, KAIZER ili nione watakusaidia vipi

Alifanya mkutano wake mtaroni...! Sabuni za kuogea zisizo na harufu angezipata wapi? Sasa maji yako shingoni...!
 
mkuu mpaka hapo ujue uaminifu kwa shemeji juu yako umeshuka sana na lazima utakuwa unachunguzwa kwenye simu, chupi n.k badili mwenendo wako

Duh nimekoma sasa itabidi niwe natembea na kapafyumu kama kale ka home ili ikitokea zali baaaaasiii najipulizia huko huko narudi na harufu ileile
 
Kimbweka karibu kwenye kile chama chetu wala hautapata shida kwenye mambo kama hayo nitawasiliana na wapwaz TEAMO, ASPRIN, KAIZER ili nione watakusaidia vipi

Asante mkuu maana napata shida sana:becky:
 
Duh nimekoma sasa itabidi niwe natembea na kapafyumu kama kale ka home ili ikitokea zali baaaaasiii najipulizia huko huko narudi na harufu ileile
ngoja nikupe siri nyingine wakati unaenda kuchinja kobe na timu ya ugenini hakikisha unaenda gesti na sabuni ile ile unayotumia home na mafuta pamoja na pafyumu

wenzetu w/wake walishastukia mapema hilo ndio maana ukicheki handbag zao ziko fulluuu kuanzia sabuni, losheni, lipstick, kanga, taulo, chupi ya akiba toilet pepa, wanja, pedi, dawa mseto, n.k vyote hivyo ni kuepusha ushaidi wanapofanya mahasi
 
Jamani nimenuswa leo .hivi nyie huwa mnanuswa na wenzi wenu kuhakiki kwamba hujafanya majamboz tofauti na mwenzio? Yaani imenishangaza sana! Kwani kuna kukariri harufu ya mwenzi wako tofauti na mapafumu duh hii kali ya wiki nimeipata wandugu

Nataka nijue Kimbweka, baada ya kukunusa kimetokea nini?
 
Umenuswa wapi? Kwa kweli :confused2::confused2::confused2::confused2:

Kwenye nyenzo za shughuli mwendo :becky::becky:

Pole sana mkuu...! Maji yameshamwagika, kinachowezekana ni kutubu madhambi yako na kuhama chama hicho...! Aidha, karibu kwa wacheza salama...!

ngoja nikupe siri nyingine wakati unaenda kuchinja kobe na timu ya ugenini hakikisha unaenda gesti na sabuni ile ile unayotumia home na mafuta pamoja na pafyumu

wenzetu w/wake walishastukia mapema hilo ndio maana ukicheki handbag zao ziko fulluuu kuanzia sabuni, losheni, lipstick, kanga, taulo, chupi ya akiba toilet pepa, wanja, pedi, dawa mseto, n.k vyote hivyo ni kuepusha ushaidi wanapofanya mahasi

Hapo red mkuu nimekupata...! Ndio maana mimi nilimruhusu mwenzangu awe anabeba pochi ndogo aendapo safari za karibu...! Japo kumlinda mwanadamu ni kazi kwelikweli..!
 
ngoja nikupe siri nyingine wakati unaenda kuchinja kobe na timu ya ugenini hakikisha unaenda gesti na sabuni ile ile unayotumia home na mafuta pamoja na pafyumu

wenzetu w/wake walishastukia mapema hilo ndio maana ukicheki handbag zao ziko fulluuu kuanzia sabuni, losheni, lipstick, kanga, taulo, chupi ya akiba toilet pepa, wanja, pedi, dawa mseto, n.k vyote hivyo ni kuepusha ushaidi wanapofanya mahasi

:croc::crazy::crazy::peace: asante mkuu sasa sisi tuwe tunaviweka kwenye briefcase vyote kabisa
 
Nataka nijue Kimbweka, baada ya kukunusa kimetokea nini?

Uzuri siku hiyo sikuwa nimepiga mechi za ughaibuni kwa hiyo hali ilikuwa shwari sana ila kwa kuwa ni mara ya kwanza nilishituka mno ila duh nikasema kama nilijua vile nikaepuka mechi ya ugenini ili wachukue pointi zao 3 ila mie nipo salama
 
Back
Top Bottom