kununua gari kwa installments ...

afrolife

Senior Member
Oct 27, 2009
154
102
Habari wakuu,

Naomba mwenye info kuhusu car dealer / agent yeyote anayeratibu ununuzi wa gari (used in japan or tz) katika malipo ya awamu (esp. hapa DSM) anijuze tafadhali. Mfano gharama ya ni gari ni Mil 5, then mteja aweza fanya down payment ya 3m na kumalizia 1m kwa mwezi unaofuata na 1m kwa mwezi wa mwisho. NB: dealer anaweza baki na kadi ya gari mpaka payments zitakapo kamilika.

Natanguliza shukraniza dhati.
 
jaribu Exim bank pia Yuasa hapa Victoria nao nasikia wanakopesha ila wasiliana nao au nenda uwasikilize
 
Hellow,
Nimeona ulizo lako leo, sijajua kama umeshapata au la,
Je, ni aina gani ya gari unataka?
 
Back
Top Bottom