Kununua bidhaa Amazon!

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Naomba mnisaidie namna ya kununua bidha kutoka online Amazon.Mi niko Tz na nina Visacard ya crdb. Jamani naomba msaada kwa wenye uzoefu anijuze ili ninunue bidhaa. Pia,nauliza kama bidhaa zao ni genuine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom