Kununiana kwenye ndoa hii ni sawa wakuu

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wanajamvi...Hope all is fine with you!

Hivi katika ndoa kwa nini wanaume kati ya wengi siku hizi wamekuwa wabinafsi hivyo...
Hii imetokea sana na pia rafiki yangu kanieleza nimpe ushauri kwani kuna mume wake huwa akitumia hela yake kwa matumizi ya nyumbani huwa ananuna siku nzima na hata kesho yake..na kulalamika matumizi yamemmalizia hela...hivi wanaume hii ni sawa....mbona na sisi wanawake huwa tunatumia hela kwa mambo mengi tu ya nyumbani hatununi hebu jirekebishen bwana kumbuken nyie ndio mngetakiwa kuangalia kila kitu katika kulea familia...au je mnataka hela zenu mkamalizie baaa na akina Amina....haaaah samahanini kama nitakuwa nimewagusa wanaume wale wenye tabia kama hii..Nisaidien mawazo nikamwabarishe huyu rafiki maana yuko kwenye wakati mgumu sana...
 
Mpe pole rafiki yako, mwanaume aliyenae ni mwanaume asiyejali matunzo ya nyumbani kwake na mlevi.
Ni faraja kwa mwanaume kutoa pesa ya matumizi ya nyumbani na ya kuletea maendeleo familia.
Anachotakiwa kufanya ni kukaa nae chini na kumueleza wajibu wake kama mwanaume wa familia nini anapaswa kufanya bila shingo upande.
Kununa si tabia ya wanaume wanaojali familia zao.
 
Asante mkuu kweli kabisa ushauri nitawakilisha...nadhani na wale walio na hii tabia hapa jamvin wamekupata...
 
Walevi siku zote ni vichaa hata wanao washangilia walevi kutukuza picture za ulevi ni vichaa pia.


avatar21522_4.gif
 
Back
Top Bottom