Bourgeoisie
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 656
- 162
Je, dada zetu wanadeal vipi na hali kama hii katika mahusioano yao? Haswa tukizingatia kwamba mke au rafiki lazima anajuwa kilema cha mume au boyfriend wake. Je, wakina dada wanawaambia ukweli waume na marafiki zao ili kukabiliana na hili TATIZO?
Wakuu naona kipengele hiki kimesahaulika, mimi naona hapa kuwa harufu hizi si mbaya kwa wote kwani nimepata kusikia kutoka kwa mmojawapo akisema kuwa akimnusa mpenziwe kwapani basi anajihisi kusisimka zaidi. Haijalishi ananukia au ananuka. Kwake anaona raha tu. Lakini kwa vile pia katika jukwaa hili wapo kina dada wengi, nadhani wanaweza kuthibitisha hili.