Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Underarm Odor Removal

Take a bath and dry your underarm completely. Cut a lemon into two pieces and rub the lemon slices in the underarm. Lemon, being a citrus fruit, is a natural astringent and shrinks the pores that cause sweating and odor. You can also rub potato slices and then apply any natural deodorant to your underarms.

With these treatments, never wear tight clothing; prefer to wear loose fitted cotton clothing in summer. If you have strong underarm odors then make sure to clean the area frequently with wet cloth often and then immediately rub the area with dry cloth because if the area remains wet, it will induce growth of bacteria.
 
Mkuu unataka kumletea kizaazaa shemeji yako,acid kwenye ngozi?

Hata hivyo nashukuru sana,shemeji yako ana tatizo hili,umemponya!
 
Underarm Odor Removal

Take a bath and dry your underarm completely. Cut a lemon into two pieces and rub the lemon slices in the underarm. Lemon, being a citrus fruit, is a natural astringent and shrinks the pores that cause sweating and odor. You can also rub potato slices and then apply any natural deodorant to your underarms.

With these treatments, never wear tight clothing; prefer to wear loose fitted cotton clothing in summer. If you have strong underarm odors then make sure to clean the area frequently with wet cloth often and then immediately rub the area with dry cloth because if the area remains wet, it will induce growth of bacteria.

37031_518796634847473_1673570597_n.png
Mkuu mzizimkavu hili tatizo ni sugu sana kwa jinsia zote, bilashaka itawasaidia.. Jee kwale ambao wanahitaji harufu kama hizi kutoka kwa akina dada ili wapate mihemko inakuweje hapo..??
 
msichana wangu wa kazi ana hilo tatizo ametumia malimao kwa muda lakini hakuna mafanikio hadi ukoko wa ugali katumia lakini wapi je kuna kitu kingine anaweza tumia?
bibie.@Blaki Woman fuatilia hii dawa hapa chini.

Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo husababisha jasho na harufu kwapani hivyo unahitaji kuoga mara mbili kila siku, unaweza kutumia sabuni au anti-bacterial na maji ya moto.

Safisha nguo katika maji ya moto na sabuni ya kuondoa uchafu na mafuta, vaa mashati safi. Inapendekeza kuvaa mavazi yenye nyuzi za asili, kama vile pamba na hariri ili kusaidia kunyonya unyevunyevu na kuruhusu ngozi kupumua.

Wakati unafanya mazoezi, tumia nguo zenye vitambaa ambavyo vitanyonya unyevunyevu kwapani ili kuzuia harufu mbaya.
Vinega ‘siki' na mafuta ya chai ' tea tree oil'

Apple cider siki na vinega nyeupe, hupunguza harufu kwapani. Ili kukabiliana na harufu, loweka pamba katika vinega, paka kwenye makwapa badala ya deodorant. Mbali na tiba hiyo, tumia tea tree oil, inaweza pia kuwa na manufaa kwa sababu ni anti-bacterial.

Limao
Kata limao au ndimu nusu kwa kisu. Paka kipande cha limao ulichokata kwenye kwapa lako na hakikisha unalisugua mpaka litoe maji yake. Weka kwapa lako lipate hewa ili hiyo juice ya limao uliyopaka ikauke.

Asidi citric katika maji ya limao inasaidia kutoa tezi ya jasho hivyo kuondoa harufu.
Makala hii ni kwa msaada wa Bongo urembo, wiki ijayo nitajibu maswali yenu yote, asanteni kwa kunisoma.

Sasa mtu si utakuwa unanukia limau tu?
Mkuu Mkereketwa_Huyu Hutanukia Limau kazi yake ni kukata harufu mbaya ya kikwapa.
 
mimi nilishawahi kutumia wakati nasoma sec.uwezo wa deodorant nilikuwa sina.ni kweli inakata harufu ya jasho
 
Wanakuudhi sana eti eeh?

We Mamndenyi, yaani hakuna kitu kibaya kama harufu ya mwilini si kwa mwanamme wala mwanamke. Demu unaweza kuwa mzuri kiasi gani ila nikishasikia kale ka harufu ka kutojali usafi wako (kwapa) naacha kukusalimia. Binadamu kunuka jamani ni matusi, hatutakiwi kunuka inabidi tujijali na kuwajali wenzetu.
 
Last edited by a moderator:
msichana wangu wa kazi ana hilo tatizo ametumia malimao kwa muda lakini hakuna mafanikio hadi ukoko wa ugali katumia lakini wapi je kuna kitu kingine anaweza tumia?
Acha kumsingizia msichana wa kazi. Wee sema wewe mwenyewe unahilo tatizo watu watakusaidia, kikwapa ni tatizo la kawaida kwa binadamu kwa sababu ni harufu ya jasho.

Anyway tumia deodorant kali kama vile adidas 48hrs au lynx ile yenye rangi ya black
 
Nilifanya hii kipindi cha shule....it works na wala haina gharama
Bado siamini kwa sababu naamini ni deodorant za kisasa tu zinazosaidia kwa sababu ukitumia zile za bei nafuu kikwapa lazima kiteme.

Kikwapa kwa weusi sio tatizo sana lakini wenzetu weupe ni noma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom