"kunominisha"

Ze propesa

Member
May 27, 2011
6
0
Naomba nieleweshwe kama KUNOMINISHA na KUUNDA KITENZI JINA ni kitu kimoja au kuna tofauti na kama kuna tofauti ni ipi?
Mfano: neno "CHEZA" kati ya "KUCHEZA" na "MCHEZO" ipi ni sahihi katika unominishaji
 
kunominisha ni kulibadili neno kutoka kwenye kategoria nyingine ya neno na kulipeleka katika nomino, mathalani kutoka katika kitenzi-nomino (imba-wimbo)

ni maoni yangu labda wadau watusaidie.
 
Back
Top Bottom