Kunguru na nguo za kike

Likasu

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
842
404
Kunguru wanalalamikiwa sana kwa kunyakua vitu ovyo. Lakini linapokuja swala la nguo wananyakua mno nguo za ndani za kike hasa chup*. Sasa wadau nielimisheni kuna uhusiano gani kati ya kunguru na chup* za kike ? Nawasilisha.
 
Kwanza wanawake wanakawaida ya kua na chupi nyingi kuliko wanaume,na hivyo wanapofua wanazianika nje,...sometime bila umakini/zinazagaa kwenye kamba au kwenye majan na hivyo kunguru huzipata kirahisi
 
Kwanza wanawake wanakawaida ya kua na chupi nyingi kuliko wanaume,na hivyo wanapofua wanazianika nje,...sometime bila umakini/zinazagaa kwenye kamba au kwenye majan na hivyo kunguru huzipata kirahisi

pointi:bored:
 
nakumbuka siku moja waliangusha uwani kwangu bonge la mchupi wa kiume una makimba yaliyofanya kuganda kabisa....ndo maana hawabebi za kiume:help:
 
nakumbuka siku moja waliangusha uwani kwangu bonge la mchupi wa kiume una makimba yaliyofanya kuganda kabisa....ndo maana hawabebi za kiume:help:

Hivi ni chupi zipi huchafuka zaidi, za kiume au za kike?
Sitaki ushabiki leteni hoja zenye proof
 
Kwa wale wanaotembea nazo kwa wingi kwenye vibegi wajibu niyapi huwa machafu zaidi yaani zao ama za waume zao? Kunguru wa Zenj noma mpaka kodi zetu zinanza kutumika katika kuwamaliza!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom