kUNDI LA TATU LA SUICIDE BOMBERS LATUA JF

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,886
11,281
Habari kwa ufupi:
kama kawaida, baada ya kupokea alawanzi kama walivyoahidiwa na mtaalam wa recruitment wa kundi lao.... wazee wa kujilipua ndani ya JF aka suicide bombers wametinga tena!!!!

Karibuni tena
 
Mkuu...

yaani kama nawaona na vibegi vyao vya mgongoni, laptop used na vile viredi kadhaa wakipaki huku wanacheki modem zina kiasi gani cha alawanzi waanze kulamba mafuba....!!!

As usual wakongwe hawana shaka ni different ID with the same password, ila vile vipya bado vinatumbua macho na kuangalizia utafikiri wanafanya matriculation test

LOL............... Boss and Chatu Dume, i am just having fun coz i know how they operate wakuu

ITS really funny
 
Back
Top Bottom