Kundi la 22 la manowari za jeshi la China la kusindikiza meli za kibiashara lazuru Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109
Meli ya kivita ya kichina.jpg


Kundi la 22 la manowari za jeshi la majini la China la kusindikiza meli za kibiashara liliwasili jana kwenye bandari ya Dar es Salaam, Tanzania na kuanza ziara ya siku nne nchini humo. Kwenye ziara hiyo, wanajeshi wa China wanatarajiwa kutembelea vituo vya jeshi la baharini la Tanzania na manowari za nchi hiyo, na pia watafanya shughuli mbalimbali za mawasiliano na wanajeshi wa Tanzania.

Chanzo: CRI Swahili
 

PNS ASLAT visit Tanzania.Naval exercise with China South Africa and Tanzania Naval forces
Source: Pakistan Armed Forces fan club
 
Karibuni wanajeshi wa China mnaweza mkaongeza kitu katika jeshi letu"perception of the tanzanians is a great problem" see that when Chinese arrive in our country they come to destroy while npt
 
Back
Top Bottom