kunatofauti gani kubwa kati ya iphone 2g na iphone 3g&3gs?

Kunatofauti gani kubwa kati ya iphone 2 na iphone 3g&3gs ?
hakuna iphone 2 kuna ile ya kwanza kutoka 2007 inaitwa iphone lakini jinalake linautata, wengine wanasema origina na wngine wanasema ni iphone 2g na toleo la pili iliyotoka 2008 likaitwa iphone 3g hii na ile iphone original ya kwanza hazitengenezwi tena manake spidi yake nikidogo kuliko simu za sasa. iphone 3gs ndo ikafuatia 2009 na bado inatengenezwa kwavile ni bora kuliko visimu vingi vinavyojiita smatpfones kwa soko la simu sasa.
 
Mkuu through post zako nakujua wewe ni mnazi mkubwa wa Apple products, mwambie pia sasa kuna iphone 4 na mpya kabisa ni iphone 4s
Pia utusaidie kwanini zingine ni kuna g na iphone 4 haina, najua s ina stand kama speed
 
Hiyo 3g inautata sana Apple wenyewe hawajawahi kufafanua lakini kwenye vijiwe vya apple blogs wanasema ni 3g ni ile spidi ya network ambayo internet provider wanatumia sasa duniani kote. Lakini wengine wanaiita 3g nikama generation ya tatu yani kama apple waliruka generation moja kwenye evolution ya iphone huo ndo ueleo wangu wa hizo 3g.
 
Back
Top Bottom