kunatatizo kama mnacheza mechi mkatoka droo 0-0

no9

Senior Member
Nov 11, 2010
188
18
kuna wakati tunainga kwenye mechi mwenzangu hafiki kileleni wala mimi sishushi mzigo mechi yenye tunaenda karibu dk 40-60 maadalizi ya kutosha je hili ni tatizo
 
Kama hamjagida mikonyagi basi mnacheza mechi mawazo yenu yako mbali sana! Kila mtu anawaza stress zinazomkabili wakati mna dot dot.
 
tunakuwa wazima na jokes kibao halafu stress za nini kabla ya hilo tendo tunafanya maombi ibilisi asije ingilia kati
 
Duh!hata mwanaume anatoka kapa??lol..there must be something wrong somewhere..
 
Jaribuni kula misosi yenye vitamini na yenye kuzalisha mbegu nyingi muone kama utakuwa unatoa hewa!! Lol Lazima zitoke
 
Jaribu kula vya kula vya asili kama matunda,ugali wa dona,mboga za majani.Usipendelee kula ugali wa sembe,chipsi,juice na vyakula vya kwenye makopo.
 
dah teari! yani chalii, usikute mamy kitandani anageuka mgumba oh! au kosa lako ni kumkaribisha mungu kwenye zinaa na while utakuta hujamuoa mwenzako
 
hawa dada zetu mara ngapi wanaachwa inamaana wanaume hawaachwi umekwenda dk 30-50 mwenzio akikwmbi tayari kachoka utaendlea
 
Back
Top Bottom