Kunasa simu za watu.!?

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,236
1,881
Hv sheria ya Tanzania inasemaje juu ya mtu atakayehusika kurekodi cm za watu mbalimbali bila ya ridhaa yao.?

Kwa kumbukumbu tu mwezi uliopita gazeti moja huko Uingereza limefungiwa na baadhi ya watu kushitakiwa. Naongea hayo nikirejea mazungumzo yaliyonaswa na Godbless Lema (mb-Arusha) baina ya diwani *Estom Milliyah* (aliyefukuzwa na chadema) na kamanda wa police mkoa wa Arusha bwaa T. Andengenye na jambo hilo lilithibitishwa na Lema mwenyewe ktk mkutano uliofanyika Alhamis wiki hii hapa Arusha.

Jamani wadau jambo hii limekaaje?
 
mkuu hilo sawa lakini hii ishu ya madiwani inaexceptional kwani ni ishu sensitive kwa hapa wana haki yakufanya hivyo..
 
Mkuu,
Najua umepata negative opinions kinyume na matarajio yako. Lakini nataka nikutaarifu tu kwamba sometimes you may do the right thing in a wrong way! Na inaruhusiwa maana inafaida!
 
naomba nikujibu, kwahakika Sheria ckama hesabu majibu yantegemea mambo mengi umetoa mfano wa Uingereza kwa hakika ni ni mamlaka nyingine yenye sheria tofauti na Tanzania,pia ina tegemea na mazingira yatukio kama nimerekodi CM ya jambazi, vilevile lengo la kurekodi katika mtazamo wangu nahisi malengo ya Lema yalikuwa kutafuta ushahidi lengo halikuwa baya. Its depends with the line of arguments having associated with.
 
Ni kweli mhe.Lema alimrekodi RPC Andengenye na diwani Estomihi, lakini kwa fikra zako chakavu unadhani kosa ni la Lema??

Kosa liko kwa TCRA kwa kushindwa kudhibiti mawasiliano. Because TCRA are the watchdog to regulate the communication, and protect the privacy of the subscribers.

Hivi we ukiweka mlinzi nyumbani, then mwizi akaja akaiba bila mlinzi kujua, halafu akaenda kujitapa mtaani kwamba nimeiba nyumba ya bwana fulani we utaanza kumkamata nani?

Kwa akili zako mgando unavyoonekana utamkamata mwizi na kumwacha salama mlinzi tena ikibidi umpandishie mshahara.

Lakini ungekuwa mtu makini, kabla hujadeal na mwinzi hakikisha umemfukuza kazi mlinzi kwanza kwa kushindwa kazi. So kama unataka Lema achukuliwe hatua inabidi TCRA wachukuliwe hatua kwanza, kwa kushindwa kudhibiti mawasiliano.
Think big kijana, acha utapiamlo wa fikra!
 
Sheria ipo, lakini huyu Estomih ana ubavu wa kulalamikia hilo? Hili jambo liko tricky kwa sababu wahusika wakilipeleka kisheria inabidi wakiri kwamba kweli hizo ni sauti zao na hilo dili kweli lilikuwepo hivyo kumpa Lema credit. Wana option ya kukana kuwa hiyo CD imechakachuliwa hivyo hakuna kosa la kunasa simu lililotendeka. Yote kwa yote, message sent and delivered.
 
Ni kweli mhe.Lema alimrekodi RPC Andengenye na diwani Estomihi, lakini kwa fikra zako chakavu unadhani kosa ni la Lema??

Kosa liko kwa TCRA kwa kushindwa kudhibiti mawasiliano. Because TCRA are the watchdog to regulate the communication, and protect the privacy of the subscribers.
Je Lema anapaswa kuchukuliwa sheria kwa kosa hilo, ili iwe fundisho kwa wengine!?
 
Mkuu sheria iko wazi, kwamba kuingilia mazungumzo ya watu ni kosa. Lakini sheria hiyohiyo inaruhusu baadhi ya vyombo viwapo katika shughuli zao viruhusiwe kuingilia mazungumzo ya watu. Mfano mzuri ni watu wa usalama wa taifa.

Kwa upande wa suala la lema limekaa kimtego, linawafanya victims wasiweze kwenda mbele ya vyombo vya sheria kulalamikia uvunjifu wa sheria ya mawasiliano. Hasa kutokana na unyeti wa kile kilichokuwa kikipangwa na wahusika.

Kwa ujumla wake wa kulaumiwa ni TCRA, bado haina ufanisi katika kuhakikisha enforcement ya communication act inafanyika bila obstacles.
 
nashukuru kwa kupata elimu toka kwako, nadhani umenielewa.
 
Excellent,

People like you are realy diserve to be members of JF, coz mnaonesha how you think big.

Hebu waelimishe akina "kayola" na "Maoniyangu" maana inaonekana hata kusoma hawajui. Wangekua wanajua kusoma wangeelewa tunachosema.

Lakini unfortunately wameajiri mtu awasaidie kusoma. And very unfortunately huyo jamaa anawasomea uongo. Poleni!
 
Mbona hii mitandao ya simu karibu yote huwa inatuma text mbalimbali za matangazo ktk simu za wateja wao bila ridhaa yao? Mbona hilo linatokea karibu kila siku na hukuuliza? umeona hili tu? Shame on you!
 
That is invasion of peoples privacy. Unfortunately people here dont see anything wrong with it until when your privacy is invaded.
 
ulinzi ni jambo zuri lakini likizidi linaleta tatizo kwenye jamii yetu ndio maana wamarekani wansema kama ukiweza kusikiliza au kusoma barua pepe za mtu basi siri ya uliyoyasoma au kuyasikia yasiyokuwa na uhusiano na lengo lako yabaki kuwa siri kama mgonjwa na daktari.

kama wewe kusudio lako ni kupambana na majmbazi au madawa ya kulevya basi ukikuta sms za mahusiano yangu na mtu mwingine basi yasiwe sehemu ya wajibu wako na daima yabaki kama yalivyokuwa na usijihusishe nayo
 
Unajua wewe maana ya sheria au unajaribu kuleta hoja zisizokuwa na kichwa, hata Kikwete yeye hajui maana ya sheria za hii nchi anayoiongoza ndoo maana anatembea kama kafungiwa motor miguuni.
 
tusubiri sheria gani maana kila kitu tunasema sheria mbona kwenye maswala sensitive hatuingizi sheria tunaonewa hatuongelei sheria
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom