Tanga poleni. Kutoka mkoa uliokuwa unaongoza kwa utajiri wa rasilimali watu na uchumi hadi kuwa mkoa wa viongozi Masangoma na washirikina mtaendeleaje? Hadi hapo mtakapojirekebisha na kuchagua viongozi wapenda maendeleo mtazidi kudidimia. Utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni (Regional Social Economic Survey) unaonesha kuwa asilimia 75 ya viongozi hawana/hawapendi utaratibu wa kuitisha vikao vya kutoa taarifa muhimu kama za mapato na matumizi; asilimia 15 wanatoa hesabu na taarifa kanganyifu na 10 ndio afueni. Kazi kwenu.Wakubwa wa tamisemi njoni tanga muone mwenyekiti miaka 2 bila mkutano kichangani tunarudi nyuma tusaidieni wakubwa wasikie