Kunani kcmc baraza la wanafunzi lavunjika.

DODOSO REFU

Member
Sep 16, 2012
12
0
Lilikuwa ni tukio la kusikitisha na lenye kutia shaka kwani mkutano ulianza vizuri na ulionekana kama vile wenye lengo la kuwafunua wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhusu mambo ya kcmc.raisi wa chuo aliongea mambo mengi na mara akatoa muda kwa ajili ya maoni na maswali na hapo ndipo balaa lilipoanza kwani aliibuka mjumbe mmoja na kumuulinza raisi akitaka kujua matumizi ya hela za chama cha wanafunzi [tuso],hapo raisi akasema hawezi toa majibu na ndugu mjumbe akiweza akalalamike kokote,hapo mjumbe akachachamaa na mwishowe raisi akavunja baraza.je wana kcmc hivi kuna haki hapa na nini wanawafunza wanafunzi wa mwaka wa kwanza????
 
Back
Top Bottom