Kunani jimbo la mtwara mjini..???

Huenda alikuwa ubalozini italy....so sioni shida kama alikuwa balozi ama mfanyakazi ubalozini lakini meseji imefika...umesikia TIBA...hivi we ni tiba mwambe au la??na huyo SINANI ni huyohuyo mwarabu ambae magari ya chama yanaendeshwa na mitoto yake uswahilini wakirandaranda na midem yao.....
 
Tatizo nafikiri si udini wala nini, who voted for Murj? Napenda ikumbukwe Kwamba huyu jamaa mke wake ni Christian labda awe amebadili. Nianavyo Mimi ni kwamba Generation yetu inataji mabadiliko na si kusubiri tu wazee wayalete hayo madabiliko. Watu pale Ligula, Mikindani, Mdenga, makomeni na hata Kule Shangani kwa ujumla yao ndo waliompa Kura huyu mbwana. Ikumbukwe pia, vijana wengi hawakujitokeza sana kupika Kura kama vile Tandahima na Newala ama Lindi.
Kigezo cha Elimu ni muhimu sanaa, tena sana, Ila mtu awe na Interest za Kuendeleza Mtwara, Kama kunakumbukumbu za kutosha Korogwe, Msomi Joel Bendera ambaye alikuwa naibu waziri ametoshwa na Majimarefu amabye si msomi, Elekea kwetu Newala, Mkuchika amesaidi nini toka hapo?
Tiba, kama ni wewe wa Mwambe, to some extent you are absolutely right as i can see you advocating for bright and prosperous future for new generation in mtwara.
On the other hand, vijana ndiyo tunaweza balisha hili, kwa kuwa mstari wa mbele kujitokeza na kugombea nafasi pia kwa vyama tofautitofati, na kama nia ipo tuanweza fanya mabadiliko makubwa sana kama kule Mwanza kwa akina Wanje, Mbeya kwa Mr Sugu.
La mwisho, je madiwani wetu hapo kusini wapo katika hali gani Kiutendaji na kiuwezo wa kuendeleza jiji? Meya wetu atakuwa ni nani?
Mimi Mdtotto wa Kiyangu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom