Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunani Arumeru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mohammed Shossi, Mar 28, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,981
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Kada wa chadema kata ya sing'isi ambaye pia ni katibu wa hamasa bi.anna akyoo amejiuzulu rasmi leo na kukabidhi kadi yake na kurudi kundini pia kijana wa kata ya hiyo maarufu kama simba aliyekuwa katibu mwenezi wa chadema karudi kundini leo mkutanoni seela chama...

  Source:


  TANURU LA FIKRA

  Mwenye habari ziaid tunamuomba atupatie kwa urefu nini hasa kimepelekea hawa jamaa kuhama chama?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,152
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 145
  poleni, kambi ya CDM imevamiwa.

  Hata hivyo, ni kipande kidogo sana katika chama, hawawezi hata kukitikisa.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,450
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Tanuru la Fikra ndiyo mdudu gani?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,511
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hakieleweki. fafanua.
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,318
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Kama umetumwa waambie hujawakuta
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,078
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Kamwambie mkeo, achana na sisi!!
   
Loading...