Kunakitu sio bure UDOM

Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
ndo hao madaktari wanakuja kuwa na ethics za ajabu sana wanaweza kuwa wanatumia gloves kwa mgonjwa zaidi ya mmoja bila kujali maambikizi
 
kusoma hapo jamani sio favour ni haki yenu jamani ........mtaishije bila maji????????????????? you fool folks??????????????????????????????
 
Wanafunzi wa social mulifanya vema kwani uku coed sasahivi hakukaliki nduguzangu.
 
Udom will b stable after 10 years........
Hata degree zake zitakua valid after 20 years
 
Nakwambia senetor.....chuo kimeanza bila maandalizi.....hakuna wahadhiri wa kutosha...hakuna huduma muim ndio km maji,,,,,hakuna field.....so hiko ndio chuo gani??????shahda hizo zitakubalika wapi?????
acha masihara mkuu.khaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom