kuna wezi sana eneo hili!!!!!!

Simeon

Member
Nov 29, 2010
61
19
mmasai mmoja alikuwa safarini,huku amenunua chupi mpya na kuivaa,walipofika njiani akajisikia haja kubwa,akamuomba suka ashuke akafanye mambo porini,kwa kuwa giza lilikuwa limeshaingia,suka akamwambia angalia sana,sehemu hii c nzuri kuna wezi sana,jamaa kashuka na tochi yake,kajisaidia,kumbe alisahau kuvua chupi,kamaliza na kumulika alipojisaidia,akakuta hamna kitu!kapanda garini,nakumwambia suka,kweli nimekuamini,kuna wezi sana hapa,wanaiba mpaka mavi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom