Kuna waziri na mbunge leo wamekutwa bungeni wakiangalia picha za ngono

niliposikia habari hii nilijua tuu lazima watakuwa wabunge wa ccm maana wao ndio ambao sio makini na hawaheshimu muda wa kutumikia waajiri wao yaani wananchi

acha unafiki, mbona hukusema kabla?
 
Confirmed ni Bernard Membe na Amosi Makala waliitwa kwa spika kujieleza!!
Kwahiyo siku hizi wabunge na mawaziri wanakaa pamoja bungeni? tuache utoto, nendeni mkaangalie matokeo yenu Necta mpunguze wingi humu muende mashuleni.
 
Ain't surprised as long as they are gossips from Mjengoni kwa Bi.Kiroboto.
Tanzania anything is possible aisee
 
Wamechanganya tu majina, ni wabunge wa India
Membratih na Markesh sio Membe na Makala teteteheee!
 
Kwahiyo siku hizi wabunge na mawaziri wanakaa pamoja bungeni? tuache utoto, nendeni mkaangalie matokeo yenu Necta mpunguze wingi humu muende mashuleni.

Hv bungeni unavyoelewa kuwa ni kwny session tuuu yaani akili yako ni fupi kama umbile lako ni katika majengo ya bunge na walikuwa wakitumia simu kilichowaumbua ni sauti!!nyambafff zakoo ...............no network
 
Kama unatafuta bwana mimi ni wrong person & wrong timing, siko hapa kutafuta skrepa kama wewe.
 
Nani anataka vijitu vifupi kama wewe vibahilii mapenzi havijui havina hela uchwAlo tuu! Kwa kipi hasa nikuhitaji weye full kunuka jua,kikwapa,kama mfugo vile huna hata aibu unajikojolea kitandani hadi leo kubwa zimaaa ovyoooooo!,,,,,n,,,nn.....network failed!
 
Maileage imetumika sana hiyo, hapa hatununui skrepa.
 
Khaaa!!
 
Maileage imetumika sana hiyo, hapa hatununui skrepa.

Mileage inarudishwa nyuma wewe etii imesoma sana we nawe mbwiga kweli ndo nyie inabidi uwekewe vidole nyuma ndo isimame huoni haya kuvaa suruali si uvae sketi tuu uitwe antiii!!!!!
 
Back
Top Bottom