joneslubinza
Member
- Jul 6, 2012
- 6
- 5
Ni kawaida hata kwa binadamu wa kawaida ukiambiwa ukweli hadharani utachukia !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi namkubali sana Kubenea. Kama angekuwa mzushi tindikali walimmwagia ya nini?
furaha inayotokana na uonevu huwa haidumuR.I.P mwanahalisi.
That is not the point...
Try again harder
kiongozi wa chadema anamiliki mwanahalisi.......hebu funguka mkuu,,,Mkuu kumbe na wewe umemgundua. Najaribu kutafuta kigezo alichotumia kufananisha Chombo cha habari na Serikali nashindwa hata kumueka kundi gani, ni mshabiki? ni mjinga? ni chizi? au basi tu kama ulisema mkuu ,kuwa ni wale wale wakiulizwa leo ni nchi ipi ina mgogoro na Tanzania kuhusu ziwa Nyasa atajibu Zanzibar. What is Mwanahali? au kwa vile linamilikiwa na kiongozi wa CHADEMA? Kumbe unaweza kuwa mpenzi wa kitu fulani hadi ukawa kama roboti. Hawa ndiyo wanaotumiwa kutafuta mabadiliko ili baadaye nchi itumbukie shimoni, hivi mtu kama huyu leo hii kukawa na mabadiliko yanayosemwa atakuwa anajua nini maana yake ? Kazi ipo.
hapo kwenye red....panaonesha tatizo lenu mnaotumiwa km t.paper na mafisadi kutoka DHAIFUTatizo hpa JF mtu akiongea mambo ya msingi anapondwa, Father kasema kweli. Kwanza wewe Kakubilo siamini kama wewe ni Mtanzania, siyo Wanyasa wa Malawi mnaotusumbua kule Ziwa Nyasa?. Unamtetea Kubenea kwa madudu yake, eti anahojiwa BBC kwa nini amefungiwa anasema "kwa sababu naandika habari za kiuchungi ambazo vyombo vingine vinaopopa kuandika" Alifikiri BBC wametandaza nafasi za kazi akaanza kuponda wanahabari wenzake ili yeye apate kazi nini?
najaribu kwa bidii kufanya nini mkuu?That is not the point...
Try again harder