NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
Kama kuna vitu nahisi vigumu sana kuwaeleza rafiki zako au wafanyakazi wenzio ni:-
1-Kunuka mdomo
2-Kunuka miguu
Kuna baadhi ya watu wananuka sana midomo yaani akija ofisini akikuinamia anakuuliza kitu unahisi uko uswahili kuna mtu kacheusha choo chake.hasa midaa ya mchana sijui kwa nini hatutumii dawa.
Vilevile hata sox,mtu kavaa kiatu hapo hajavua lakini bado kinatema mpaka unakosa raha ofisini. Hata kama mvua zinanyesha na kuna madimbwi sio sababu ya kunuka miguu kama vile imeoza.
Tatizo
Watu wengi wanapenda kusikia sifa nzuri tu sijui utaanzia wapi kumwambia mtu piga mswaki vizuri tumia mouth wash za mint asubuhi na jioni. Khaaaa inakera sana.
Sijui wenzangu nyinyi kama mna experience the same difficulties