Kuna watanzania grade a,b,c....

YOTE UBATILI

Member
Nov 19, 2010
13
0
Hivi majuzi nilimtembelea ndugu yangu mmoja pale Mikochen,katika maongezi nikamkumbushia mpango wake wa kununua kiwanja cha mzee fulani,Aaah,jamaa yangu huyu aliishia kuniambia namna BWANA MKUBWA RIDHWAN JK alivyoingilia na kununua kwa MAPESA ya kufa mtu na kisha kushusha kitu cha adabu...kwa mamia ya mimilion....
Wapendwa wenye busara wana JF,Tanzania na vyote viiajazavyo ni mali ya Wananchi wote pasi kuweka mitazamo na itikadi za vyama,dini nk..JE IWEJE FAMILIA KADHA ZIONEKANE ZINASTAHILI kuliko nyingine?Hujuma na utapanyaji wa resources za wote vitakoma lini?Je kauli za kijana RIDHWAN kumiliki less than 10m while monopolising nyumba ya mamia mingi ya mamilion???????????
wana JF mwasemaje/?????
 
Back
Top Bottom