Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?

tutaenda kupima manake hata yeye mwenyewe anaweza kujipima ila nilikuwa nataka kuhakiki kupitia mzunguko wa siku zake bro
Kipimo ni 3000 tu na pia unapata majibu after few minutes,wala usijaze server ya JF kwa kuweka thread mkuu
 
Kipimo ni 3000 tu na pia unapata majibu after few minutes,wala usijaze server ya JF kwa kuweka thread mkuu
hahahhah!! wewe nawe .kila kitu kimearhisihwa bro naona unataka kuniletea usanii wa maduka ya madawa hapa ..nishampima zamani sana
 
amepima sasa hivi jioni tumekuta negative.asanteni sana kwa ushauri..idumu JF na member wake wabarikiwe wote..ila huyu binti nilivyomuona naona kama vile hajaridhika alikuwa anataka iwe positive kwa sababu hajaamini ikabidi tupima mara ya pili

Hongera kwa kupata negative results, labda bibie alikuwa ankuchemsha na aone msimamo wako


mkuu kwenye hilo jedwali inamaan kapo kwenye k k k ni siku hatari nazo?

Hapana, ila unakaribia kuingia katika siku hatari kulingana na mwili wa mwanamke husika.
 
Back
Top Bottom