Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Habari zenu madaktari na wanajamvi!
Hivi kuna uwezekano wowote wa mtu kupunguza kuwa na hofu/uoga na kuwa jasiri?
Unaweza ukakuta mtu mwingine anasimama mbele ya watu wengine na anaongea bila tatizo ila unakuta
mwingine akisimama anaanza kutetemeka mpaka anasahau kila kitu.
Pia kuna mwingine unakuta ana ujasiri wa kupigana ila mwingine ni mwoga.
Je kuna utatuzi wa haya mambo?