kuna upendeleo malipo ya dowans

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
mimi naona kuna upendeleo malipo ya dowans. kuna watu wengi wamepata hukumu ambapo serikali imeamrishwa kulipa na pia serikali ilipe riba. mfano mzuri ni valambia ambapo serikali iliamriwa ilipe bilioni hamsini kwa sasa zimezidi themanini. mke wa kombe iliamriwa alipwe milioni mia tatu naambiwa hajalipwa. kuna watanzania wengi wanasota serikali inasema haina pesa. kwanini dowans leo tu walipwe? waandishi tafadhali iulizeni serikali je ipo tayari kuwalipa kwanza akina valambia ambao hukumu zao zilitoka mape
http://www.google.com
 
Back
Top Bottom