kuna umuhimu wa kutarii, hapa ni france

14400

Member
Feb 21, 2011
6
0
hili jengo ni halisi and not photoshoped
 

Attachments

  • building-facade.jpg
    building-facade.jpg
    66.4 KB · Views: 206
kijana nyaujimmy, usihofu wengine kiswahili kimetukuta tukuwa tumeshaadhiliwa na............
 
Inawezekana maana wenzetu kwenye sanaa na ubunifu wako mbali tofauti na siye wa sanaa na uigifu.
 
Sio jengo kama jengo ila ni taaluma ya uchoraji kwenye ukuta "murales" kwamba hata ukiwa karibu utadhani ni ukuta unayeyuka kikweli. Tazama na hizi hapa:
melting_building_02.jpg

melting_building_08.jpg
 
Back
Top Bottom