Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Nimejaribu kutafakari kwa kina mapinduzi ya vyama bila kuihusisha na mabadiliko ya katiba ni sawa na kucheza na majitaka,kila ukinawa bado ni mchafu.Sasa nauliza kuna ulazima wa kutetea mabadiliko ya Katiba ya Nchi kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi octoba 2010?