Kuna ulazima Gani???

Jamani kwani akiwa kahaba aliyekubuhu ndio ana-make good wife?? Lazima kuna vinavyofundishwa ambavyo havihusiani na meza kuu!!

Nakumbuka kuna moja niliisikia mtu anafundwa kuwa mume ni mfalme tena wa kumheshimu na hata ukisikia ameachia hewa usicheke wala kuguna we jifanye kama hujasikia kisha taratiiiiibu toka nje ukaliteme "Pwaahaaaa" ukilisindikiza na tusi lolote unalojiskia kulitoa ila usiliseme kwa sauti.... kisha rudi taratibu na tabasamu paaana usoni likisindikizwa na darling, laaziz, sweetie, nyonda and you name it

Ahaa mambo ya ISIDINGO hayo, jamani mumeo tena anakuwa kama simba wa kuogopewa. Hata utani hakuna jamani kwa swala kama hilo. Khaa siyawezi kwa hapo.
 
Unakuta binti alikua kicheche, shangingi aliyekubuhu kuwachuna na kuwapagawisha mabuzi.

Buzi akipagawa na kuamua kutangaza ndoa, huwa
Code:
nashangaa wamama eti wanamuandalia kicheni pati, ya jinsi gani ya [B]kukata kiuno[/B], jinsi ya [B]kubugia ile kitu [/B]nk. Sa kama angekuwa hayawezi hayo mambo, buzi lingewezaje kutangaza ndoa au pengin
e kutelekeza familia?

Bora basi mafunzo ya kicheni pati yangekua yanahusu jinsi gani ya kumheshimu mume, kutunza familia, kuachana na tabia ya ukahaba etc. Wao wamebezi kwenye maeneo ya kati tu.

Tehe tehe tehe hivi wanabugiaga kisha wanameza teeeehhhhhh, kukata kiuno? hahaha kweli " raha ya goli ni lazima upige chenga".
 
Unakuta binti alikua kicheche, shangingi aliyekubuhu kuwachuna na kuwapagawisha mabuzi.

Buzi akipagawa na kuamua kutangaza ndoa, huwa nashangaa wamama eti wanamuandalia kicheni pati, ya jinsi gani ya kukata kiuno, jinsi ya kubugia ile kitu nk. Sa kama angekuwa hayawezi hayo mambo, buzi lingewezaje kutangaza ndoa au pengine kutelekeza familia?

Bora basi mafunzo ya kicheni pati yangekua yanahusu jinsi gani ya kumheshimu mume, kutunza familia, kuachana na tabia ya ukahaba etc. Wao wamebezi kwenye maeneo ya kati tu.
mpaka mtu anaolewa hajajua kumheshimu mwenzake wala hajaacha tabia ya ..... unadhani hiyo training inatosha?

yaani mie wala siifaham hii trend... ilianzaje? na lini?
 
mpaka mtu anaolewa hajajua kumheshimu mwenzake wala hajaacha tabia ya ..... unadhani hiyo training inatosha?

yaani mie wala siifaham hii trend... ilianzaje? na lini?

Yan we ukija kufanyiwa kicheni pati nitashangaa sana. Hakuna jipya ambalo hujui. wink
 
kaka unanionea mie sijui lolote hasa hizi kazi...

attachment.php

Itabidi nikatae kuolewa
 
kwahiyo heshima inafundishwa KP sio nyumbani ehh!!!

hahaaaa mi sijui bana..............nilikuwa natifua tu hapa maana mtu mwenyewe 'kaka jamabzi' sijui haya ya KP's yalimfikaje.

binafsi si-intertain huu 'upuuzi'.......sorry to say so ni mtazamo wangu binafsi!!
 
hahha bht sikatai kuolewa kwa ajili ya KP ila hizo kazi za wamama hapo kwenye picha ndio zitanifanya nigome kuolewa.....
 
hahha bht sikatai kuolewa kwa ajili ya KP ila hizo kazi za wamama hapo kwenye picha ndio zitanifanya nigome kuolewa.....

kukuna nazi wewe unaogopa??? hahahaa lol we binti wewe!!!! shauri yako labda usiolewe na wanaume wa kiswahili......
mchuzi wa nazi sijui chapati za kusukuka lol!!!! simo mie
 
hahaaaa mi sijui bana..............nilikuwa natifua tu hapa maana mtu mwenyewe 'kaka jamabzi' sijui haya ya KP's yalimfikaje.

binafsi si-intertain huu 'upuuzi'.......sorry to say so ni mtazamo wangu binafsi!!
hahaa vipi tena mie nilikutegemea wewe na Nyamayao kwenye KP yangu tena...
 
kukuna nazi wewe unaogopa??? hahahaa lol we binti wewe!!!! shauri yako labda usiolewe na wanaume wa kiswahili......
mchuzi wa nazi sijui chapati za kusukuka lol!!!! simo mie
oow my oow my ...bado mchuzi wa nazi na chapati za kusuka hee? haya waswahili wasije wakanioa mie shauri yao...
 
hahaa vipi tena mie nilikutegemea wewe na Nyamayao kwenye KP yangu tena...

aaah mi ukitaka uniite chobingo sio mambo ya kukusanyana sijui mnaanza kuambizana oooh hivi vile staki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom