Kuna ulazima gani wa kufanya mapenzi kabla hamjaoana?

Nauliza tu

Mhhh Bujibuji,

Binafsi sijui ila Jmosi nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi jamaa anaomba ushauri. Amekuwa kwenye uhisiano kwa muda mrefu sasa na waliaahidiana kutofanya ngono hadi siku ya harusi. Vikao vya harusi vimeanza na sasa amechanganyikiwa.Kisa?? Jogoo hawiki. Sasa anaomba msaada. Hebu jaribu kumpa ushauri huyo mshikaji na wakati huo umkumbuke dada wa watu ambaye amesaga lami miaka kibao akimsubiri mtu ambaye ni half dead sexually!
 
Sio lazima ila muhimu. Tena siku hizi hadi mimba kabisa ndio ndoa itangazwe. habari za mbuzi kwenye gunia kumbe ndani ni mbwa ahaa.
 
kuna mtu anaitwa PAULSS amesema hivi nanukuu "kinadharia nisawa ila kivitendo sio kweli" mwisho wa kunukuu.
dear bretheren kibinadamu wachumba wengi wanashindwa kusubiri, ipo siku watafanya tuu kabla ya ndoa.HABARI NDO HII/ UKWELI MTUPU

Roho ipo tayari ila Mwili unashindwa...............
nawasilisha..
 
Aliyesema majaribu ni mtaji sijui alikuwa anamaanisha nini?
Kuna majaribu makubwa sana na mazito.
Sijui huyu akamuone saikolojisti gani ili aweze akamsaidia.
mhhh bujibuji,

binafsi sijui ila jmosi nimesoma kwenye gazeti la mwananchi jamaa anaomba ushauri. Amekuwa kwenye uhisiano kwa muda mrefu sasa na waliaahidiana kutofanya ngono hadi siku ya harusi. Vikao vya harusi vimeanza na sasa amechanganyikiwa.kisa?? Jogoo hawiki. Sasa anaomba msaada. Hebu jaribu kumpa ushauri huyo mshikaji na wakati huo umkumbuke dada wa watu ambaye amesaga lami miaka kibao akimsubiri mtu ambaye ni half dead sexually!
 
Ukiwa na mchumba wako binti, usipomuonja ataanza kukudodosa, wewe una wanawake wangapi?
Kwa nini huna hamu na mimi?
Nikijisikia tutafanyeje?
Yaani analeta maswali mengi ili mradi tu umbandue
 
Aliyesema majaribu ni mtaji sijui alikuwa anamaanisha nini?
Kuna majaribu makubwa sana na mazito.
Sijui huyu akamuone saikolojisti gani ili aweze akamsaidia.

Kuna saikologists anayesaidia majogoo kuwika hata kama yalishakufa?

Mimi nilidhani ushauri wa haraka ni kuweka mambo hadharani na kupisha aibu inayomsubiri. Angejua kuwa impotence ni ugonjwa basi asingeanza kujiingiza kwenye mahusiano ambayo hawezi kuyakamilisha. Ulishaona mlemavu wa miguu anashiriki mbio za mita 100 na watu wazima?
 
muuliza swali amefanya hii dhambi sasa anatafuta sehemu ya kuhalalisha...unahangaika na roho yako hiyo..piga goti Mwmombe Mungu, kama hautafnaya hivyo, maangamizi yako mbele yako. na wale utakaowakomvisi wakafanye kama ulivyofanya wewe damu yao itadaiwa mikononi mwako.
 
kuna mtu anaitwa PAULSS amesema hivi nanukuu "kinadharia nisawa ila kivitendo sio kweli" mwisho wa kunukuu.
dear bretheren kibinadamu wachumba wengi wanashindwa kusubiri, ipo siku watafanya tuu kabla ya ndoa.HABARI NDO HII/ UKWELI MTUPU

Roho ipo tayari ila Mwili unashindwa...............
nawasilisha..

Mkuu,

Kwangu suala siyo tu muda wa kusubiri, bali sababu za kusubiri. Nilisoma kitamu kimoja kinaitwa "I married you". Mchungaji mmoja anasema alishindwa kujibu swali hili kwa wanafunzi ambao walikuwa kwenye uhusiano kwa zaidi ya miaka 3 na bado wana miaka kama 3 zaidi wamalize masomo yao + mingine ya kutafuta kazi. Je, hao waendelee kusubiri?

Kila kitu kina mazingira yake. Tuwe waangalifu na vitabu vilivyoandikwa 100 yrs BC ambapo watu walikuwa wanaoana baada ya kubalehe. Sasa hivi watu wanaishi muda mrefu kabla ya kuoana wakati mwingine kuzidi ule watakaoishi kwenye ndoa. Je, na hao tuwashauri kusubiri kwa kutumia Agano la kale?
 
Wewe unaweza kunyanyua jiwe ukampiga huyu muuliza swali?

Kama hujawahi kufanya na hutafanya kamwe basi hongera zako ingawa sina hakika kama hiyo tu inakupa garantii ya kumwona Sir God!!
 
nafikiri wazazi ambao wanaozesha ndio huwa wanakuwa wanamuelewa sana mtoto wao hasa wale ambao wanayo maumbile mawili...lakini kwa wale ambao jogoo halisimami....watapona tu...however, kisheria kama ndoa haitakamilishwa siku ile ya kwanza....yaani jogoo halitasimama siku ile ya kwanza, hiyo ni voidable marriage (sio void marriage)..inaweza kutenguliwa kisheria....hivyo muuliza swali hajui sheria na anahitaji msaada wa hali ya juu.l..kazi yake anataka aridhike pale watu watakapohalalisha uzinzi.
 
Mkuu,

Kwangu suala siyo tu muda wa kusubiri, bali sababu za kusubiri. Nilisoma kitamu kimoja kinaitwa "I married you". Mchungaji mmoja anasema alishindwa kujibu swali hili kwa wanafunzi ambao walikuwa kwenye uhusiano kwa zaidi ya miaka 3 na bado wana miaka kama 3 zaidi wamalize masomo yao + mingine ya kutafuta kazi. Je, hao waendelee kusubiri?

Kila kitu kina mazingira yake. Tuwe waangalifu na vitabu vilivyoandikwa 100 yrs BC ambapo watu walikuwa wanaoana baada ya kubalehe. Sasa hivi watu wanaishi muda mrefu kabla ya kuoana wakati mwingine kuzidi ule watakaoishi kwenye ndoa. Je, na hao tuwashauri kusubiri kwa kutumia Agano la kale?

Mkuu umepigilia msumari wa mwisho, yaani umemaliza kila kitu nikiongeza nitaharibu bure.
 
kuna mtu anaitwa PAULSS amesema hivi nanukuu "kinadharia nisawa ila kivitendo sio kweli" mwisho wa kunukuu.
dear bretheren kibinadamu wachumba wengi wanashindwa kusubiri, ipo siku watafanya tuu kabla ya ndoa.HABARI NDO HII/ UKWELI MTUPU

Roho ipo tayari ila Mwili unashindwa...............
nawasilisha..

Hahaaaaaaaa nimeipenda hii roho ipo tayari lakini mwili.............
Halafu siku hizi mkuu watu wameenda mbali zaidi, sio kuonjana tu bali unampiga kabisa kitu kutest kama anakonsivu then ndio unaoa.
 
yeah ! Ni poa ati kwenda kwa test drive kabla hujamua kama itakufaaa usije ingia chaka !
 
Jf ni nani hapa ndani amefanya mapenzi na mke wake baada ya ndoa?
Kipindi chote cha urafiki na uchumba walikaa kimya wakisubiri siku ya fungate?
 
Jf ni nani hapa ndani amefanya mapenzi na mke wake baada ya ndoa?
Kipindi chote cha urafiki na uchumba walikaa kimya wakisubiri siku ya fungate?

Mi nitafanya hivyo mkuu ili niwe ktk idadi ya wachache walisubiri....
 
Hebu ambao hawajaoa wajaribishe kutoshiriki mapenzi kabla ya ndoa,
wale walio anza kuonjana wao tuwaache tu waendelee kuridhishana
 
UKIPATA KITU KAMA HICHI KIMEJILAZA PALE KITANDANI, KIMEUSAULA KWA AJILI YA KUPUNGUZA MAKALI YA JOTO LA JIJI DSM,
WEE MWENYEWE UZALENDO WAKO UTAUWEKA NYUMA.

attachment.php
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom