kuna ukweli ndani ya hili penzi?

Loyan

Member
Jan 31, 2012
8
0
habari wana jf..me ni kijana wa kiume ni miezi 3 sasa imepita toka nianze mahusiano na huyu binti.kwa ufupi ilikua hivi\nilikua bukoba miezi 3 iliyopita ambako nilienda kufanya field katika kituo kimoja cha radio..kwa bhati njema niliweza kukubalika sana kwa wasikilizaji hususani vijana lakini zaidi mabinti..pengine ni kutokana na kipindi cha music nilichukua na host..mwisho wa siku nilpokea simu kutoka kwa mdada aliejitambulisha kua anatokea uganda na anazimika sana na sauti yangu hivo anapenda kampani yangu ya ulafik tu..sikua na hiyana nilianza kuchat nae kila nipatapo mda mpka mda wangu wa field ulipoisha nikarudi home..na niliendelea kuchat nae..tunatmia airtel so gharama ya mawasiliano ni nafuu..lakin kama mwanaume kwa namna tulivokua 2nachat nlimsoma kua alihitaj mor than a friend.na vile nilikua cngo..nili2pa nyavu kama kusukuma mlevi akakubari..mwanzo ilikwua kima sihala bt mwez huu wa 3 uhusiano umekua strong. yeye anadai anafanya kaz bank na amekuwa akinijari kifedha mda wowote napohitaji na hata nisipomwomba coz anajua sina kazi..hatujawai onana ingawa mwenyewe hujtapa n mrembo..hapa nlipo keshani2mia pesa ya kukatia passpot na nauri ili niende uganda tukaish pamoja coz hata kazi kanitafutia..bt binafs ni kama ninasita sita..why me?wakat me ni kapuku tu na anajua.unaweza kumpenda m2 kwa kiwango hik hta bila kumwna?
 
if it sounds too gud to be true then it most likely is....keep ur wits abt u son!!!!
 
Mapenzi ni kitu cha ajabu na inawezekana kabisa akakupenda kidhati lakini kuna mambo hata kwenye mapenzi , yanataka yafanywe kiutaratibu ulivyo! Hili la wewe kujiachia na kumtegemea mwanamke hata kuamuwa kwenda kuishi kwao si la kawaida. Jikaze kama mwanamme ufwate wewe kwani si yeye aliejigonga kwako?
 
Sikiliza moyo wako kaka. SWALI je huna gali au ndo unataka kumtosa kwa ajili ya huyo mganda?
 
kuwa makini-wengine ni matapeli-
mwambie yeye akufatwe-mpe eneo la kukutana-eg bukoba-maana anaweza kupenda wewe-ila siku utakayomuona usimpende
 
Unasubiri nini mpaka sasa hivi wewe.Ila chunga miwaya mkuu watu wameungua sana huko
 
Wewe nenda kale mzigo toto la kiganda,litakua poa,kwa picha ninayopata..Ok,mwambie akutuimie picha zake kwenye email,usifunge safar mpka UG,bila kuona picha,ok
 
Da mkuu zari la mental hilo,sasa fanya vipi weka wave piga mascrub piga mapooda sana uwe soft then lipuka mapamba ya ukweli sio ya kichina,nenda gym ujenge 6packs na stamina,then mwambie akutumie mkwanja uende uganda,then ukilala nae simamia show kisawasawa mpake adate,ukifanya hvyo basi ushamtia uchizi hata ukitaka gari atakupa coz kwa wafanyakazi wa bank mikopo kwao ni easy sana.
 
Kaka nenda UG ukamwone inawezekana kweli anakupenda au anataka akutumie si unajua siku iz hata mdume tusipojiangalia unaweza tumiwa na mwanamke.... So kwea pipa inaweza kua bahati au la. B THE MEN
 
ukweli upo maana penzi halichagui masikini wala tajiri ni popote pale moyo wa mtu unapoangukia, mpe ushirikiano kama na wewe unampenda.
 
waweza kwenda lkn uwe na pesa ya kutosha in case of anything! Ila angalia asiwe muathirika; so take extra extra care! Fikia hotel; usikubali kufikia nyumbani kwake kwanza.

Kama yawezekana muombe mkutane Bukoba ili msafiri wote na basi; ili mmpate muda wa kutosha kuongea na kujuana vizuri!
 
Kweli nazidi kuona ukweli wa hili neno-'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!' .Inawezekana kabisa mkaanzisha uhusiano wenye future NA inawezekana ukajutia sana hatua uliyochukua. so probability ni 50/50. question: are you ready to put your life on gambling table?..... Kuna dr mmoja aliniambia kitu mtu anachokiona kina power kuliko anachosikia ndio maana walimu wanashauriwa kutumia visual aids kwenye darasa. Fikiria kuna wanaume wangapi kawaona huko uganda? kama yeye mrembo kihivyo wanaume wangapi wamemuona? kwa nini akuchague ww kwa sauti aliyosikia over ma'handsome' aliowaona huko? angalia usikute ni zimwi mla watu....
 
Acha uwoga kijana,kama mahela anakutumia mwambie aje yeye bongo coz uwezo anao! Then saminisha kwanza,usiogope kupendwa kihivyo kupo duniani hapa! Pili,kama kweli mnachati kihvyo kwa simu,nenda next level kwenye ma-mitandao ili agalau mapicha yake akutumie pia usaminishe! Kama yuko siriaz,hata ndugu zake atakutambulisha hukohuko kwa mitandao
 
waweza kwenda lkn uwe na pesa ya kutosha in case of anything! Ila angalia asiwe muathirika; so take extra extra care! Fikia hotel; usikubali kufikia nyumbani kwake kwanza.

Kama yawezekana muombe mkutane Bukoba ili msafiri wote na basi; ili mmpate muda wa kutosha kuongea na kujuana vizuri!
nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom