kuna ukweli kuwa minara ya simu ina madhara kama ukiishi karibu nayo?

hakuna madhara yoyote .. Jamani watanzania kwa nini wanakuwa na mambo ya ajabu hivi? Kuna mwingine leo alikuja na uzi kusema kuwa kukaa na simu mda mrefu eti ina madhara.sijui nani anawadanganya haya mambo
 
saint nilishawahi sikia inahitajika kukaa umbali fulani na makazi ya watu kama ilivyo kwa nyaya za umeme zinazobeba umeme mwingi
 
hakuna madhara yoyote .. Jamani watanzania kwa nini wanakuwa na mambo ya ajabu hivi? Kuna mwingine leo alikuja na uzi kusema kuwa kukaa na simu mda mrefu eti ina madhara.sijui nani anawadanganya haya mambo

Umefanya utafiti au unalopoka?
 
Yes kuna ukweli katika hilo.ila unakuwa kwenye risk zaidi hukiwa usawa wa zile antena zake.so kwa mafundi wa minara ndo wapo na hatari zaidi,Minara ya simu inatoa na kupokea Microwave signals.Microwave hizi ambazo tunapashia Vyakula majumbani.so some how kuna danger kwa binadamu
 
Pia ieleweke kuwa hii Technology aina ata miaka 20,so madhara mengi bado sana kujulikana na wanadamu.lakini wapo wengi wameadhirika.Jua pia makampuni makubwa huwa yana toaga rushwa kwa watafiti wa mambo kama haya wawe wapole.aiingii akilini mawimbi ya simu yanapita mpaka katika kuta za nyumba lakini zisipitilize kwenye ubongo wa binadamu.
 
Hatupaswi kukataa moja kwa moja kuwa hakuna madhara. Tafiti zimefanyika lakini matokeo yanatofautiana sana na hata kupingana. Lakini hakuna sababu ya kuwa na hofu sana juu ya matumizi ya simu. Ukisoma makala hii toka wikipedia utaona kuwa hakuna msingi wa kuwa na hofu. Lakini ni vema kufuata ushauri wa wataalamu na watengenezaji wa simu kuhusu namna ya kupunguza madhara (precautionary measures).
 
analopoka tu huyo. pengine hajui hata nini maana ya utafiti.

Ok poa mimi naropoka, nyie si ndio mnaoamini hadi kanumba kauwawa na free mason. Sina cha kuwasaidia zaidi bakini kama mlivyo na stori zenu za kwenye kahawa.
 
Pia ieleweke kuwa hii Technology aina ata miaka 20,so madhara mengi bado sana kujulikana na wanadamu.lakini wapo wengi wameadhirika.Jua pia makampuni makubwa huwa yana toaga rushwa kwa watafiti wa mambo kama haya wawe wapole.aiingii akilini mawimbi ya simu yanapita mpaka katika kuta za nyumba lakini zisipitilize kwenye ubongo wa binadamu.

acha stori za kwenye kahawa.. Unajifikirisha na kujiaminisha...,hakuna kampuni lenye kuweza kuwalipa watafiti, kama madhara yangekuwepo by any means wangeshayasema. Nyi ndio juzi juzi mlizima simu zenu kisa kuna miali. achenu kusambaza uongo na kuwadanganya wananchi ambao hawajasoma
 
Yes kuna ukweli katika hilo.ila unakuwa kwenye risk zaidi hukiwa usawa wa zile antena zake.so kwa mafundi wa minara ndo wapo na hatari zaidi,Minara ya simu inatoa na kupokea Microwave signals.Microwave hizi ambazo tunapashia Vyakula majumbani.so some how kuna danger kwa binadamu
Du.... mtu waweza pashika moto hivihivi!!!!!!!!!!!!!
 
wazungu walikuwa na haya matechlnogy kwa mda tu nyie wamatumbi mmeletewa simu juzi juzi tu hata miaka 10 haijaisha basi mmeshaanza visa hamzitaki. Kama zingekuwa zinaua si wangeshakufa wazungu wote.. Watu mnakufa kwa sababu ya utawala batili na ccm yenu mbovu mnayoichagua kila siku. TBS imechafuka mnaingiziwa bluband na matairi mambovu. Na simu za kichina kibao.nyie ndio wa kulaumiwa
 
minara ya simu ni HATARI. Ila inategemea umbali na uelekeo kutoka kwenye zile drum zenyewe.
Unaweza pata maelezo kwa google. Tafuta BTS cell site safe distance.
Au check hii: Cell Tower Health Risks
 
wazungu walikuwa na haya matechlnogy kwa mda tu nyie wamatumbi mmeletewa simu juzi juzi tu hata miaka 10 haijaisha basi mmeshaanza visa hamzitaki. Kama zingekuwa zinaua si wangeshakufa wazungu wote.. Watu mnakufa kwa sababu ya utawala batili na ccm yenu mbovu mnayoichagua kila siku. TBS imechafuka mnaingiziwa bluband na matairi mambovu. Na simu za kichina kibao.nyie ndio wa kulaumiwa

hata HIV ingekuwa inaua wangeshakufa wazungu wote. You're damn 'right'
 
Kwa kifupi antenna za minara ya simu inatoa mionzi inayoitwa 'non ionizing radiations" tofauti na x ray ambayo inatoa ioninzing radiation. madhara unayoweza kuyapata ni kupanda kwa joto mwili kidogo kama ukisogea karibu na antenna mita 3.
 
Ok. Lakini kuna ukweli zaidi ya hapo, kama kweli tunajali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom