Kuna ukweli katika hili?

Mutabora

Member
Apr 29, 2010
45
4
Katikati ya mabishano inajitokeza hoja yenye utata kwamba mwanaume ambaye hajatairiwa hatoki sana nje ya ndoa.Hakuna aliyedhibitisha kwa takwimu na hoia hii nairusha kwenu wana JF.
 
Haina ukweli wowote, kuna makabila kama wahaya na wajaruo wanasifika kwa kutotahili lakini wanatoka nje ya ndoa kama kawaida. Pia wapo warangirani (coloured) wa nchi ya africa kusini pia wazungu wengi tu hawataili lakini kwenda nje ya ndoa ni moja ya sifa zao.

Kwenda nje ya ndoa na tabia na hulka ya mtu na si general term kwamba ukiwa hujataili itakuzuia kwenda nje ya ndoa.
 
wazungu wanatoka nje na magovi yao sababu kwako yako common,ni kitu cha kawaida....kwetu sababu tunakata wenye kubaki nayo hawana confidence ya kuyaonyesha so inawezekana wasiende nje ya ndoa...kuna kaukweli fulani....!
 
ha ha, Roselyne 1 umekuwa muwazi na mkweli sana...ha ha
safi sana.
 
Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume wenye tabia ya kujichuwa mara kwa mara ndio wenye kutoka nje ya ndoa zao sana.
 
wazungu wanatoka nje na magovi yao sababu kwako yako common,ni kitu cha kawaida....kwetu sababu tunakata wenye kubaki nayo hawana confidence ya kuyaonyesha so inawezekana wasiende nje ya ndoa...kuna kaukweli fulani....!

Mhhhh! Kama hii ni kweli basi akina dada wanaweza kuanzia sasa kudai kuwataka wenye magovi maana hawachezi viwanja vya ugenini kwa aibu ya kuonyesha magovi yao lol!
 
wazungu wanatoka nje na magovi yao sababu kwako yako common,ni kitu cha kawaida....kwetu sababu tunakata wenye kubaki nayo hawana confidence ya kuyaonyesha so inawezekana wasiende nje ya ndoa...kuna kaukweli fulani....!
Mh! Kama kuna kaukweli flani hivi.
 
ile habari inayozidi ile,ni very sensitive,ikitolewa in maana kuna sensitivity fulani inapungua.Nafikiri pamoja na kuwa kutoka au kutotoka nje ya ndoa kuna sababishwa na mambo mengi lakini hili nalo laweza changia japo kidogo. Ndio maana siku zote nipo upande wa wale wanaounga mkono ile shughuli/habari iondolewe.INA HASARA NYINGI KULIKO FAIDA. Nasema tena kwa wanaume ambao bado toeni. SAMAHANI,lakini kama ni kule kwetu mmmmmh, kama bado, huhesabiki kama wewe ni mwanamme,nilishaomba samahani kama nawakwaza. HALAFU? huu mjadala mbona unarudirudi kinamnanamna?
 
Lakini hoja ya Rocelyne 1 ina ka ukweli ndani yake. wasiotahiriwa hawana ubavu wa kuyaonyesha kila mahali hasa wanapoishinsehemu ambazo tohara ni lazima
 
Lakini hoja ya Rocelyne 1 ina ka ukweli ndani yake. wasiotahiriwa hawana ubavu wa kuyaonyesha kila mahali hasa wanapoishinsehemu ambazo tohara ni lazima
...Tena ukikutana na hawa wadada wa mjini siku hizi ndio akukute una hilo govi lazima kesho yake utaikuta kwenye Kiu au Ijumaa Kumbe nanihino yule ana mkono wa sweta!!!!
 
Back
Top Bottom