House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,076
- 1,991
Napenda kuleta mjadala huu kwenu GTs, katika level zote nilizowahi kusoma, nilikutana na course ya psychology kwenye level ya Diploma na First degree, kwa bahati mbaya sikuona topic iliozungumzia 'Forgeting...' Kwa siku za hivi karibuni nimeona tatizo la kusahau linawaathiri watu wengi. Najiuliza maswali haya
1. IQ ya mtu ina uhusiano na uwezo wa kusahau au kukumbuka vitu au matukio?
2. Mbona tatizo la kusahau haliko kwenye kundi la magonjwa ya binadamu?
3. Tatizo la kusahau kwa binadamu kwa nini hukua kadri mtu anapokuwa mzee?
4. Mbona watafiti huwa hawashughuliki na tatizo hili kuona madhara au faida yake kwa watu na jamii nzima?
5. Je usahaulifu ni Tabia au si tabia?