kuna uhusiano wowote baina ya kusinzia na KUSIMAMISHA?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...'KILA NIKIPATWA NA KAUSINGIZA HASWA WAKATI WA MCHANA, LAZIMA UUME WANGU NAO UTASIMAMA KWA MUDA WOTE AMBAO NAJISIKIA KUSINZIA,' mwisho wa kunukuu...hivyo ndivyo alivyosikika mwanachuo mmoja akimuuliza mwenzake...
NIKAWA CURIOUS KUJUA JIBU LAKINI HAWAKUWEZA KUWA NA JIBU MPAKA NIKAPITA
what i want to know from this, ni je kweli kuna uhusiano wowote wa kibaolojia? usingizi na uume kusimama...
 
yes,ukisinzia mwili huwa Una relax so damu nyingi au mgandamizo wa damu huelekea sehemu ambayo ii wazi, that is kwenye uume Kuna spongy ambazo huwa zpo empty so wakat umesinzia mgandamizo wa damu huwa unajaza hizo spongy na kufanya uume ucmame.
 
mkuu labda nikuulize na wewe, je hupatwa na hali hiyo?
 
yes,ukisinzia mwili huwa Una relax so damu nyingi au mgandamizo wa damu huelekea sehemu ambayo ii wazi, that is kwenye uume Kuna spongy ambazo huwa zpo empty so wakat umesinzia mgandamizo wa damu huwa unajaza hizo spongy na kufanya uume ucmame.

nakuelewa kwa kiasi mkuu...

hapo penye blu, napata utata...sponge ndio uwazi?
 
sijawahi kusinzia mchana mkuu...
nataka nikawasaidie hawa vijana.

Then wewe na huyo jamaa mna special case nadhani, na mnatakiwa mfanyiwe utafiti maana yeye akisinzia mchana jogoo anasimama na wewe hujawahi kusinzia mchana kitu ambacho ni next to impossible
 
labda kwa kuongezea point kwenye swali: Hata Asubuhi mtu ukiamka tatizo hili hujitokeza...
 
hiyo ni kawaida na huo usingizi wa mchana ciyo kitandani...ni kama unasinzia halafu umekaa kwenye kiti kitu lazima kitu kiende hewani.
 
uko sawa mkuu...namna iyo
 
hiyo ni kawaida na huo usingizi wa mchana ciyo kitandani...ni kama unasinzia halafu umekaa kwenye kiti kitu lazima kitu kiende hewani.

mi nlijua nipo peke yangu inakuwa noma upo kwenye busi.pia na hii ukiwa kwenye safari ndefu na unakaa sana kitu kinaenda hewani je?
unaweza fanya PhD kujua link ni nini
 
Back
Top Bottom