Kuna uhusiano gani kati ya Uingereza na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Wakati mwingine inabidi tuirudie historia ili kutatua matatizo yanayotukabili hivi sasa.
Anyway ,

Ukiuangalia kiundani muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika utaona ulikuwa ni kwa matakwa ya Mwingereza, ambaye alikuwaanazitawala nchi zote mbili kabla ya uhuru.

Zanzibar ilipata uhuru wake Desemba 1963 na kuwa Jamhuri January1964.
Miezi mitatu baadae, yaanzi April 1964 Zanzibar ikaungana naTanganyika kuunda Jamhuri ya muungano wa Tanzania (Mwaka moja baada ya Zanzibar kupata uhuru na miezi mitatubaada ya kuwa jamuhuri).
Hivyo basi bila Propaganda za siasa wala kumung’unya maneno utaona kunauhusiano wa moja kwa moja kati ya matakwa ya mwingereza na muungano, na muunganohauna uhusiano na matakwa ya waZanzibar wala waTanganyika, ndio mana wanzanzibari wanaulalamikia muungano na waTanganyikana viongozi wa serikali wamekaa kimywabila kutoa ufafanuzi wa kina na hoja zamsingi .
 
Unaweza kuwa sahihi ila umeshindwa kuonesha ni vipi Mwingereza anahusika katika Muungano. Namaanisha, hoja yako haujaipa nguvu!
 
Back
Top Bottom