Kuna uhusiano gani kati ya shekh Yahya husein na intelijensia ya CCM??

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,096
1,332
Ndugu zangu wana jamvi mi kuna jambo linanitatiza kuhusu huyu mnajibu wa kimataifa, kipindi cha mkapa aliwahi kusema kua wananchi wanampenda sana mkapa na watamuomba aendelee kuongoza ingawa katiba haimruhusu, pia juzi juzi tu wakati wa uchaguzi mkuu alisema nyota ya mkwere ina ng'aa sana na yeyote atakae simama kumpinga atakufa, pia ikulu wakasema kauli ya sheikh yahaya iheshimiwe, nashindwa kuelewa haya mahusiano kati ya gwiji huyu wa utabiri wa nyota na viongozi mafisadi wa chama tawala. Kwa upande wangu mi namuona huyu mzee ni mnafiki sana na pia sidhani kama anania nzuri na nchi yetu.nayeye ni fisadi, kwa wanao mjua vizuri mtaalam huyu naombeni mnijuze zaidi kwani namuona ni mtata sana na haelewiki.
 
kaka huyo mzee ni mzushi tu, hana la maana hata moja, mi wala sitaki hata kusikia habari zake, kibaraka huyo.
 
Hauwezi mwelewa huyu mzee. Ni aljinuni(nusu mtu nusu jini). Yaani ni zaidi ya mchawi huyu. SHETANI kabisa.
 
Hauwezi mwelewa huyu mzee. Ni aljinuni(nusu mtu nusu jini). Yaani ni zaidi ya mchawi huyu. SHETANI kabisa.
 
mwana CBE, nimekusoma ndugu, kweli mzee huyu ni nguzo ya mkwere hasa ni mchawi mkubwa wa majini, anawachanganya wengi kwa hadithi zake za kichawi chawi.
 
Ha ha haaa, kwa jinsi utabiri wake unavoenda contrary na hali halisi...... nadhani hata mwema alitumia intelijensia za shehe kuzuia maandamano na kuua watu!!! :Cry:
 
Huwa sina desturi ya kumjadili mtu huwa najadili hoja, ila kwa huyu mzee sina budi kukiuka utaratibu niliyojiwekea.

Huyu mzee ni mwehu, hana akili kabisa. Nyota zake hazina maana zaidi ya uchawi uliotukuka. Hana cha nyota wala mbalamwezi. Mkwere anakosea sana kumfanya huyu mzee kuwa mshauri wake. Nchi hii haiwezi kuongozwa kwa kuzingatia ushauri wa kitoto cha jini kama Yahya. Nina hasira nae sana huyu mzee.!
 
Back
Top Bottom