Kuna Uhusiano gani kati ya HIp Hop Na Bangi?

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Mm ni mpenzi mkubwa sana wa muziki wa hip hop. Nilianza kuipenda hip hop enzi hizo za akina marehemu TUpac... Hata ilipokuja kuwa kwamba HIp hop inaimbwa hapa TZ niliipenda zaidi na. Nikiri nina urafiki na wasanii wengi wa HIp hop hapa nyumbani. Ila nilichogundua wengi wao wanavuta sana bangi.. Swali ninalojiuliza kichwani.
Hv ukiimba HIp Hop lazima uvute Bangi?
 
bora ungesema reggae na bangi kufokafoka wengi albadir la mwarabu yaani cocaine..
 
majani oyeee
naskia moshi mic kwa pembeni
nachana mistari yangu kiaina
 
Mkuu mbona umecoclude kwa watu wawili tu? wanaochana si wengi tu mbona umeweka wawili? Kwani Mchizi Mox Kaacha? Dark Matser Kaacha? Jose Mtambo kaacha? Chidi Banz kaacha? Jaymo kaacha? Kalapina kaacha? Ibra da Husler kaacha? Mbona wapo wengi au washaacha hao ambao haujawataja?
 
Tatizo liko wapi?
Inanisaidia kufanya mambo yangu kiulaini
nyanga skuli zikigoma, nilikuwa napiga nyasi
jembe lilikuwa likigoma napiga nyasi
ng'ombe wakigoma napiga nyasi
bosi akizingua ofisini, namlia msuba akiyaangalia macho anazimika mwenyewe
jf ikigoma nakula moshi, inafunguka yenyewe

we mwanamke mbona unapenda sana bangi!?
 
Ukikosa self esteem ndo matokeo yake unaitafuta nje. Bange(wenyewe ndo wanavyoiita) itakufanya ujiamini (kama ndo unachotaka) wakati uko high, stimu ikiisha you are just crap. Wengine wakishaona bange haina stimu baada ya kuvuta sana, wanahamia kwenye cocaine/heroine. Vichwa maji tu hakuna lolote
 
Tatizo liko wapi?
Inanisaidia kufanya mambo yangu kiulaini
nyanga skuli zikigoma, nilikuwa napiga nyasi
jembe lilikuwa likigoma napiga nyasi
ng'ombe wakigoma napiga nyasi
bosi akizingua ofisini, namlia msuba akiyaangalia macho anazimika mwenyewe
jf ikigoma nakula moshi, inafunguka yenyewe

haya ndo madhara ya bangi! Nakushauri uache mara moja... Tuachie sisi, maana naona una kichwa cha panzi! Yaani haina tofauti na ile story ya wavuta bangi waliokuwa wanaangua embe kwa mawe, mmoja akapanda na kulibonyeza halafu akashuka akamwambia mwenzake limeiva tuendelee kurusha mawe... Halafu kwa binti kama wewe haipendezi kuvuta bangi!
 
Tatizo liko wapi?
Inanisaidia kufanya mambo yangu kiulaini
nyanga skuli zikigoma, nilikuwa napiga nyasi
jembe lilikuwa likigoma napiga nyasi
ng'ombe wakigoma napiga nyasi
bosi akizingua ofisini, namlia msuba akiyaangalia macho anazimika mwenyewe
jf ikigoma nakula moshi, inafunguka yenyewe
umenionea rejao mahali? maama bila macho ya bangi haonekani
 
ukiivutia kwenye masaburi unakuwa kichwa maji
au kama unavuta afu unakula skonzi na chai kama menu lazima stimu yako iwe chini

usidhani una akili kuliko walioigundua
au una self esteem kuliko wavutajii wote

na kama hauvuti unahangaikia nini
ana.t.i.w.a mwingine mauno wakata na utamu unasikilizia weye

utavalishwa kipedo
Ukikosa self esteem ndo matokeo yake unaitafuta nje. Bange(wenyewe ndo wanavyoiita) itakufanya ujiamini (kama ndo unachotaka) wakati uko high, stimu ikiisha you are just crap. Wengine wakishaona bange haina stimu baada ya kuvuta sana, wanahamia kwenye cocaine/heroine. Vichwa maji tu hakuna lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom