Kuna uhalali gani baadhi ya watumishi serikalini kupandishwa cheo bila kurekebishiwa mshahara.

KANGALA

Member
May 5, 2011
8
0
Inasikitisha sana serikali kuwapandisha cheo baadhi ya watumishi wake na kuchelewa kuwarekebishia mshahara wao kwa zaidi ya miaka mitatu.

Hivi kuna mantiki gani kumpandisha cheo mtumishi iwapo anendelea kulipwa mshahara ambao hauendani na cheo hicho.
 
Wanapandisha ili kujiosha ili wakiulizwa wanasema wanajali watumishi kumbe hawana bajeti ya kuwarekebishia mishahara
 
Back
Top Bottom