Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

mi bikra hayo sijui bana.........................

Ukiolewa utayajua haya wapi kwa kukatia kiu...
fikiria kila siku mmeo anarudi anakupa mgongo anasema amechoka kazini kulikuwa na kazi nyingi
 
Wewe hupendi kutongozwa na waume za watu ni kwasababu hujui faida zake, hao bf wenu ambao ni single wengine wengi upokuwanae hujui yupo wapi. Kumbe pengine anakwenda kwa demu wake mwengine na wewe unajihisi upo peke uko, niliwahi kukutana na demu m1 uk yupo masomoni aliwahi kuniambia baada ya kuumizwa sana na wanaume sasa anapenda awe na mahusiano na mume Wa mtu sababu moyo wake utapoa Wakati hayupo ma mpenzi
 
nani huyo unamwambia?
 
Kwa hiyo ulimpata wewe ni mme wa mtu?
 
Wewe hupendi kutongozwa na waume za watu ni kwasababu hujui faida zake, hao bf wenu ambao ni single wengine wengi upokuwanae hujui yupo wapi. Kumbe pengine anakwenda kwa demu wake mwengine na wewe unajihisi upo peke uko, niliwahi kukutana na demu m1 uk yupo masomoni aliwahi kuniambia baada ya kuumizwa sana na wanaume sasa anapenda awe na mahusiano na mume Wa mtu sababu moyo wake utapoa Wakati hayupo ma mpenzi atajua yupo kwa mke wake. Kwanini na wewe usijaribu hiyo policy ?
 
urijali wa mwanaume ni nini mkuu hebu niambie

Ndugu,

Urijali, ..... Urijali, .... Rijali, .... Raijali. rijali.
Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI ya Chuo kikuucha Dar es salaam Rijali ina maana ya "a man with sexual powers". Smilekuna swali lingine?

Maana yangu ilikuwa ni ndogo sana kwamba "tusiwaangalie watongozaji kwakazi au mawazi yao ILA kwa upendo kutoka moyoni - maana mwisho wa siku ni niupendo na mme /mvulana mwenye kumudu

nipo hosptal hapa kuna mkaka anadeki hapa akinitongoza?????????...........

Jamani mdogo wangu, hayo makundi hayana mioyo ya kupenda? Mimi nafikiri inategemea na jinsi anavyokutongoza; lakini wengi ambao wanakuona maji marefu halafu ni wastaarabu wanaumilia moyoni tu.

Ni mara mia upate shoe shiner ambaye anakupenda toka moyoni kuliko maHBs ambao ni players tu, wanaoweka rekodi ya mademu wote bomba mjini!
 
Kama mwanamke yupo wa aina hiyo..mumewe anatakiwaa awee mbunifu,kilaa akirudi anampaa tongozo jipyaaa
 
Smile mi nirasterman hupendi pia mtongozo wama kaka...''wat gwan baby dadaa...jah live,am rude bwai..i & i dem lovin yah...selasi aiiii.....
mmmh mi sijui
raha ya kutongozwa inategemea na mtongozaji bwana......
Sio unatongozwa na waume za watu.makonda,watoto wadogo ... Wacongo....mapadre ufurahie...
Mimi kwangu inategemea ananitongoza nani....
Kiukweli kuna magroup huwa sipendi wanitongoze especially waume za watu ...kweli nachukia tongozo zao toka moyoni kabisa
huwa naumwa kabisa ...kabisa...
 
je wazee wauza kahawa na mashoe shaini.... unaweza ukarudi bafuni kuoga tena ...
mume wa mtu wa nini sasa?
Sasa utampata wapi ambaye siye mume wa mtu? Labda uende clinic usubirie kazaliwe katoto ka kiume ufanye booking, vinginevyo utaishia kula makombo ya wengine tu utake usitake.
 
Back
Top Bottom