Kuna ugonjwa wa kupenda kutongozwa jamani

nonino

Member
Apr 11, 2012
32
12
Nilihudhuria semina ya vijana kuhusu mahusiano na ndoa kanisani kwetu,mwezeshaji katika kufundisha akaongela issue ya mdada mmoja ameolewa,lakini anasema yeye anapenda sana kutongozwa na wanaume sio kwamba anawakubalia ili anajisikia raha wanaume wanapomfata na kumtongoza,akikaa wiki hajatokea mtu wa kumtongoza anajihisi kama mgonjwa,mara nyingine kama hajatongozwa huamua kuwatega wanaumume kwa makusudi kabisa ili wamtongoze tu.Haya mliooa muwa mnaendelea kuwatongoza wake zenu ndani ya ndoa,wengine kumbe ndio ugonjwa wao.
 
mmmh mi sijui
raha ya kutongozwa inategemea na mtongozaji bwana......
sio unatongozwa na waume za watu.makonda,watoto wadogo ... wacongo....mapadre ufurahie...
mimi kwangu inategemea ananitongoza nani....
kiukweli kuna magroup huwa sipendi wanitongoze especially waume za watu ...kweli nachukia tongozo zao toka moyoni kabisa
huwa naumwa kabisa ...kabisa...
 
nkikutongoza mimi je.!??
 
Siyo ugonjwa hiyo ni low esteem and is looking for someone for validation. Jamani mimi nashangaa ushaolewa una mume wakutongoze ili iweje....
 
Smile nakupenda,sili silali nakuwaza wewe,nikinywa bilauri nakuona kwenye maji.Yaani ukinikataa najinyonga kwa kamasi. . . . . .
 
Last edited by a moderator:
mmmh mi sijui
raha ya kutongozwa inategemea na mtongozaji bwana......
sio unatongozwa na waume za watu.makonda,watoto wadogo ... wacongo....mapadre ufurahie...
mimi kwangu inategemea ananitongoza nani....
kiukweli kuna magroup huwa sipendi wanitongoze especially waume za watu ...kweli nachukia tongozo zao toka moyoni kabisa
huwa naumwa kabisa ...kabisa...

Jamani zile za makonda na machinga huwa zinanitoa amani....kama ni mume wa mtu I will use him for my advantage halafu nasepa.
 
je wazee wauza kahawa na ma shoe shaini ptuuuuuuu unabaki kujiuliza nimelogwa au?
 
Nilihudhuria semina ya vijana kuhusu mahusiano na ndoa kanisani kwetu,mwezeshaji katika kufundisha akaongela issue ya mdada mmoja ameolewa,lakini anasema yeye anapenda sana kutongozwa na wanaume sio kwamba anawakubalia ili anajisikia raha wanaume wanapomfata na kumtongoza,akikaa wiki hajatokea mtu wa kumtongoza anajihisi kama mgonjwa,mara nyingine kama hajatongozwa huamua kuwatega wanaumume kwa makusudi kabisa ili wamtongoze tu.Haya mliooa muwa mnaendelea kuwatongoza wake zenu ndani ya ndoa,wengine kumbe ndio ugonjwa wao.

Bila shaka dada huyo mtongozwaji ni NAZJAz
 
Jamani zile za makonda na machinga huwa zinanitoa amani....kama ni mume wa mtu I will use him for my advantage halafu nasepa.
je wazee wauza kahawa na mashoe shaini.... unaweza ukarudi bafuni kuoga tena ...
mume wa mtu wa nini sasa?
 
Duuh hao wa migahawa na shoeshine nomarr. Mume wa mtu namtumia ili ajiheshimu siku nyingine.
 
Jamani zile za makonda na machinga huwa zinanitoa amani....kama ni mume wa mtu I will use him for my advantage halafu nasepa.
Unasepa bila kubanduliwa? Huwa sitongozi kama kilimo cha mboga bustanini... Kwamba namwagilia leo mavuno wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom