Kuna Ubaya Wowote?..

Be careful with us men, we can make you cry or commit suicide.

Elia remember hii power hamnayo wanaume.......ni sisi tunaowaruhusu muwe nayo.
Remember If anyone screw your life DO NOT BLAME HIM/HER BLAME YOURSELF c'se its you who gave HIM/HER the Screw driver to screw you (your life)
 
what happened? You are becoming msumbufu everyday.

The last time I checked, ulikuwa kwa Mwingira, hama kabisa huko.

Umedai unaenda kuharibu biashara yangu nikakujibu kuwa kuna kichwa cha nyumba mle. Huwezi haribu hivi hivi. Ndio uzuri wa kuwa na kichwa cha nyumba kilicho na uwezo kwa ku-manage kila kitu in da house. Sana sana utaishia mlangoni, and watch out kuna utelezi pia hapo nje usije ukaanguka na kuvunjika mbavu bure.
 
Ngoja nikamtafute niharibu, hadi awe pluto.

Nimevaa helmet, nikianguka hautaniweza.

Umedai unaenda kuharibu biashara yangu nikakujibu kuwa kuna kichwa cha nyumba mle. Huwezi haribu hivi hivi. Ndio uzuri wa kuwa na kichwa cha nyumba kilicho na uwezo kwa ku-manage kila kitu in da house. Sana sana utaishia mlangoni, and watch out kuna utelezi pia hapo nje usije ukaanguka na kuvunjika mbavu bure.
 
Hapa nakubaliana na wewe Da mdogo kwa asilimia 110. tuko pamoja hapa. Yaani nafurahia maisha katika mwanga bora mpaka pale Tanesco watakapochukua umeme wao kitu ambacho ninaelewa kuwa chaweza kutokea. Lakini sio eti umeme upo basi Mj1 mie nisijivinjari kwenye kioo kuyafurahia makalio yangu ya embu kisa, Tanesco wanawezauchukua umeme wao! ah vunja mifupa bwana ila jua wawezashindwa kuivunja ukishang'oa meno but kuna kima ati................

jiangalie mwaya, habari za umeme unakatika halafu unasema hukujua kama ungetika hatutaki kuzisikia. Umeme ukikata unatafuta shughuli nyingine ya kufanya na sio kuanza kulaumu tanesco kwanini wamekata.
 
Umenifanya nicheke mwenyewe usiku huu we Mdada. Eti tuko pamoja haya pokea zawadi ila jua nakumiss

Juliana featured new song - 2011 - Bing Videos

Mimi I missed you more.... Hadi tulifufua uzi wako wa kumisiwa am telling you....lol

Hio zawadi ya ukweli....lol. I feel so alive again. hahahaha....

Sasa umeamua nini? Utabaki nae na umpe nafasi ya "Uanaume"?? Umecheki dalili zote ana qualify? lol
 
Hahah ukisikia uchokozi ndo huu sasa Da Mkubwa loh............. we nilishakwambia kwa hili ni mpaka tuweke kikao mi na weye ati!! umesahau eh!! lol
 
Mie bwana naona tupange siku rasmi kabisaaa! Nimechoka huku kuahirisha.... Alafu Sweetie aliniambia kuna mahala alikutuma pale nilipo kuulizia kwa kukumiss.... Ni wapi huko? lol
 
jiangalie mwaya, habari za umeme unakatika halafu unasema hukujua kama ungetika hatutaki kuzisikia. Umeme ukikata unatafuta shughuli nyingine ya kufanya na sio kuanza kulaumu tanesco kwanini wamekata.

...kha! Siku hizi nawe una vijimsemo, mnh!

Mimi I missed you more.... Hadi tulifufua uzi wako wa kumisiwa am telling you....lol

Hio zawadi ya ukweli....lol. I feel so alive again. hahahaha....

Sasa umeamua nini? Utabaki nae na umpe nafasi ya "Uanaume"?? Umecheki dalili zote ana qualify? lol

....' "utabaki nae na umpe nafasi ya "uanaume??" umecheki dalili zote ana qualify?" '......
mnh, AshaDii ujijue wewe ni dada'ngu wa mtandaoni na maandiko yako kwangu ni wosia,
hebu nitafsirie - kumpa mwanaume nafasi ya "uanaume" mmekusudia nini?

Katika midahalo yoote, huu wa Mwj1 umenishindia hapo, am lost in translation...
Pls dear, "asojua maana haambiwi maana" hai apply hapa..Am counting my eggs frm ur hatchery.

na

ngumu kujua yupi real yupi foto, watu wana pretend balaa,hayo yalikuwaga enzi hizo bwna cku hizi mambo mseto, wa2 wanafukuzia wapi kinaeleweka wateremke napo, ule uanaume unapungua kila kukicha,( wamejaa wapenda kuhongwa) atakuganda ukidhani mapenzi/mahaba kumbe kuna anachokitaka...muwe na mipaka, tunachoka na hizi kec za wahudumiaji kuja kujiliza liza wametendwa kumbe ni wao wenyewe hawakusoma alama za nyakati....pweeh, huo mnaousema kichwa cha nyumba tunaufanya sana but kwa macho makavu/makali, sasa nendeni kichwa kichwa na hiyo "real man" yenu kesho 2wasome vingine....btw MJ1 kimeshaeleweka? angalia mama ucje angukia pua!

...."btw MJ1 kimeshaeleweka? Angalia mama ucje angukia pua!"

The most scarriest words from you bana, Nyamayao una nini lakini?
Acha mwenzio apende bana.....tumuombee heri mwenzetu huko aendako.

Bado sijauelewa mdahalo huu ..Unless mtanipa definition nzuri ya "Uanaume 2012/real man2012/kichwa cha nyumba 2012" ...maana mpaka sasa najionea mataji mengine ni sawa na lile taji la miiba kama alovishwa Yesu kristo
akielekea kusulubiwa...
 
"....Who is your Ideal Man? I know Who is my Ideal Woman..."

2012, dunia ni yako, maamuzi ni yako...chagua mke ambaye
mume atakuwa na fahari kuishi naye, epuka mke 'anayejifaharisha'
kwa kila mwanaume.
 
Mie bwana naona tupange siku rasmi kabisaaa! Nimechoka huku kuahirisha.... Alafu Sweetie aliniambia kuna mahala alikutuma pale nilipo kuulizia kwa kukumiss.... Ni wapi huko? lol

Hahahah Da Mkubwa huyu Sweetie wako bana kazidi yaani ananichunga utadhani mie ni kale ka-first born kenu ka primary!
 
...kha! Siku hizi nawe una vijimsemo, mnh!

...........Hahahhah yaani siku hizi huyu Husy huyu nafikiri Uporoto anaipatapata sijui wamehama uzunguni walikokuwa wakiishi enzi zile! Maana mh, vijembe vyake hata si haba.

....' "utabaki nae na umpe nafasi ya "uanaume??" umecheki dalili zote ana qualify?" '......
mnh, AshaDii ujijue wewe ni dada'ngu wa mtandaoni na maandiko yako kwangu ni wosia,
hebu nitafsirie - kumpa mwanaume nafasi ya "uanaume" mmekusudia nini?

Katika midahalo yoote, huu wa Mwj1 umenishindia hapo, am lost in translation...
Pls dear, "asojua maana haambiwi maana" hai apply hapa..Am counting my eggs frm ur hatchery.

Hah hebu mwulize maana naona dadio anakuchanganya zaidi hapa Soulmate! But ninavyoamini mie si kumpa nafasi kwa kumwambia nafasi yako kuanzia leo ni hii la hasha...... bali kutengeneza mazingira ya kumkubali (kwa upande wa mwanamke) kumkubali na kumwamini mpenzio kuwa anastahili nafasi hiyo. Thinking yangu iko hivi,..... ninaye mpenzi ambaye anafit kabisa kwenye definition yangu ya my ideal man..... kumpa nafasi ya uanaume kwangu itakuwa ni mie kubwaga moyo wa mapenzi bila kuwa na ndoto za majinamizi mara kwa mara kisa tu ninahofia atantenda...... yaani niwe kama mtoto mchanga 'kimapenzi' anavyokuwa na amani mikononi mwa mzazi wake akiwa kalala.

...

...."btw MJ1 kimeshaeleweka? Angalia mama ucje angukia pua!"

The most scarriest words from you bana, Nyamayao una nini lakini?
Acha mwenzio apende bana.....tumuombee heri mwenzetu huko aendako.

Bado sijauelewa mdahalo huu ..Unless mtanipa definition nzuri ya "Uanaume 2012/real man2012/kichwa cha nyumba 2012" ...maana mpaka sasa najionea mataji mengine ni sawa na lile taji la miiba kama alovishwa Yesu kristo
akielekea kusulubiwa...

Hahahaha huyo nyamayao anaexercise role yake ya Dada Mkubwa maana the other time alinifungia safari na kiboko hahahah...........nshamtoa mashaka bana.

Hahhh Soulmate, Inshallah aksante kwa dua zako.......I hope umenipa baraka zote eh?!:)
 
"....Who is your Ideal Man? I know Who is my Ideal Woman..."

2012, dunia ni yako, maamuzi ni yako...chagua mke ambaye
mume atakuwa na fahari kuishi naye, epuka mke 'anayejifaharisha'
kwa kila mwanaume.

.......I think kila mtu ana ideal man/woman wake ......si ndo ziile tunazoziita qualifications za kila mtu au? So zinatofautiana amini usiamini hata hao tunaosema 'wavulana/wasichana' ni ideal persons wa wengine. Mwingine anapenda 'Bad Boys/girls" ni ideal man/woman wake.

Cha muhimu ni kuwa umeidefine kwa style yako inayofit kwa maisha yako then jiachie. Sio kwa kuwa mpenzi wa rafiki yangu huwa anambeba mgongoni shosti basi nami naiiongezea kwenye list ya qualifications zangu..........
 
Hahahahah Aksante Da Mdogo I know una-care ila mwe unanivuta kwa ukali bana hahahahah yaani kama vile wansuta na kibwebwe nyongani!!

hahahaha! Ngoja nipunguze. Ila mimi siwezi kumpa mwanaume hiyo nafasi. Akishindwa twende sawa basi akubali niwe juu yake. Ikishindikana natupa kule.
 
Back
Top Bottom