Utajuaje kama siyo mvulana?
Kuna wengine wanabaki kuwa wavulana hadi siku ya kusindikizwa makaburini!!
Babu DC!!!
Hata mimi nataka kujaribu hiyo kitu.
Sema sasa it only pays if that fellow is a real man, kama ni mwanaune suruali au "A boy in a grown man pants"(As I call them) kinda man imekula kwako maana he'll not treat you as a lady, he'll not respect you na hatokua responsible. Mwisho wake ndo kuanza kulalama anakuonea, anakutumia, hakupendi, hakujali, anakunyanyasa n.k
Hivyo kabla ya kumpa usukani hakikisha kua ni dereva anaeielewa vizuri hiyo taaluma, usije ukaishia kuendeshwa kama bajaj za Dasilama.
Wapendwa
Heri ya Pasaka, poleni kwa msiba wa Kanumba, surely he will be missed.
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
Mi cjui nimechanganyikiwa? Nisaidieni ninawaomba!
Utapata returns nzuri sana ukimpa mwanaume nafasi yake.
Wishes za wanaume wote wa Kibantu ni kutambuliwa nafasi yao ya kibesi wa nyumba..huh!
Mhhhh,
Mzima lakini wewe?
Kama hutajali hata ukifanywa msukule basi mpe kila kitu...Hata cheque books and ATM cards zote mupe tu dada yangu!!
Kipenda roho ....!!
Babu DC!!
Wakati huo wewe utakuwa na access na kila kitu chake au unakuwa chuma ulete??
Babu DC!!
Hata mimi nataka kujaribu hiyo kitu.
Sema sasa it only pays if that fellow is a real man, kama ni mwanaune suruali au "A boy in a grown man pants"(As I call them) kinda man imekula kwako maana he'll not treat you as a lady, he'll not respect you na hatokua responsible. Mwisho wake ndo kuanza kulalama anakuonea, anakutumia, hakupendi, hakujali, anakunyanyasa n.k
Hivyo kabla ya kumpa usukani hakikisha kua ni dereva anaeielewa vizuri hiyo taaluma, usije ukaishia kuendeshwa kama bajaj za Dasilama.
Kila mwanamke ana definition yake ya mwanamme kulingana na matarajio yake kwa mumewe/mwenza.
Kama mtu anakidhi vipimo vya kwa tafsiri yangu ya mwanamme, anapewa usukani freely.
Ila kwa tafsiri yangu ya mzee mvulana hawezi pewa usukani hata awe na miaka 100.
Kila mtu ana standard yake ya mwanamme.
He he he he dearest....tuna changamoto kubwa sana wakati huu, uwajibikaji wa wanaume umepungua ndo maana usukani na taaluma hiyo inaendeshwa na wanawake kwenye baadhi ya ndoa.
....unataka kujaribu? Utanogewa halafu uje kutusumbua hapa...lol
....i hope Lizzy amekusoma,"kila mwanamke ana definition yake ya mwanamme kulingana na matarajio yake...!"
Wakati huo wewe utakuwa na access na kila kitu chake au unakuwa chuma ulete??
Babu DC!!
Ni vizuri ukimpa mwanamme nafasi ya kuwa kichwa cha familia au cha mahusiani, lakini kamwe si mvulana.
Teamo Ti hebu jibu mada bana........achana na muda wa kuposthaya bwana....!
naona ilikuwa usiku mnene...!
usiku wa giza....!
0:04
Wapendwa
Ninaomba kuuliza....... kuna ubaya wowote kwa karne ya sasa kumpenda mtu kwa kumpa nafasi aitegemeayo kwenye mahusiano? Mf. Mwanaume (Kibantu) yeye anategemewa kuwa kichwa cha nyumba, nikimpenda Laaziz wangu katika mazingira hayo ya kumwacha awe kichwa cha nyumba kuna ubaya?
Hakuna ubaya hata kidogo. Na kwa kufanya hivyo ndo hasa utasomeka wewe ni sehemu ya huyo jamaa katika maisha.
Hahahaha sasa Mbu kuna ubaya gani kunogewa na kitu ambacho nnacho na sio chakutafuta? Sindo raha yenyewe hiyo? Maana ntatulia hapo hapo!
Hehehe. . .We umesahau "Gentleman" ehhhhh? Yani nikimaliza uchunguzi na nikawa naona taswira ya ki"Gentleman" mbele yangu namwachia usukani, nashusha kiti cha pembeni, najilaza huku macho nimefumba bila wasiwasi. Kiufupi ntajitoa nione raha yake. Yakinishinda namwambia anishushe fasta. . . .Lolzzz