Kuna ubaya kupishana miaka 10??

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Wataalamu naombeni mnijuze! Eti nikiwa(mimi ni mwanaume) napishana na mpenzi wangu miaka kumi ni mbaya?
 
....Kama kuna mapenzi ya kweli na maelewano basi hakuna ubaya wowote.
 
kanumba na lulu at work,kwishajua janja yako zamani sana,but inategemeana mahusiano mmeanza lini,je binti akiwa under 18 or baada ya kuvuka kizingiti iko
 
Unategemea wewe Ina umri gani kwanza, but if she is under 25 and you are 35 kunaweza kusiwe na shida, ila Jiandae kumlea na uwe muungwAna, tena Kama umepiga vidato na yeye bado, Jiandae tu kuwa tayari kuwa na misimamo tofauti na namna mnayojudge mambo, kwa mtaAmo wangu, 5 years difference Is max


QUOTE=MARCKO;3720299]Wataalamu naombeni mnijuze! Eti nikiwa(mimi ni mwanaume) napishana na mpenzi wangu miaka kumi ni mbaya?[/QUOTE]
 
Hakuna ubaya wowote, mbona mimi nimemzidi mama Ngedule kwa miaka 14.....................!
 
hakuna ubaya kama mwenzako atakuwa kwenye umri wa zaidi ya miaka 25
 
mwanaume awe mkubwa zaid kuliko kuwa rika bt hakuna ubaya wwt kama mwenzako naye anakufil
 
Haina nouma imlad tu kwenye kamchezo hayuko nyuma mfno mmi mke wangu kanizidi miaka 9 na sasa tunamiaka 12 ndani ya nda yetu hasa mimi nilipenda sana maumbile makubwa! asikwambie mtu full starehe kila siku sherehe
 
mbona mswati anachukua vibinti vidogo uku yeye umri mkubwa.kama anajitambua we chukua wanawake wanakuwa viungo vya uzazi umri kwao si ishu,ndo maana akshafka 35 kuolewa ni majaliwa sasa usipo owa kinda utajaowa mzee
 
MM mie wala sioni tamu najihisi kama namfisidi mtoto wawatu. raha mume akuzidi hata miaka 15 mie sioni tabu kwangu furaha....
 
Mkuu watoto wanasumbua kinoma but kama yupo above 24yr old simbaya mambo mengine munaekana taratibu. First check tabia yake iko poa nazani ndicho cha muimu sana.
 
Back
Top Bottom