Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

Status
Not open for further replies.
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??

Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

Muulize Mkeo Hilo Swali atakupa Jibu zuri zaidi
 
Unajua wengi hapa wana sura za mama wakwe zao kichwani ndio maana wanapinga hii hoja na kusingizia laana etc. Wengi mama wakwe zao wameshazeeka, kwa kifupi hawalipi. Sasa, wao wakiimagine kutembea na hao vikongwe, wanaona haiji, ndio maana kila mtu anasema laana. Kwa kifupi, uzinzi ni uzinzi tu. Ukitembea nje ya ndoa umezini. Haijalishi umezini na nani. Kama mama mkwe analipa, wewe kula, lakini ukijua kabisa kwamba umezini. Na uzinzi ni dhambi!

kumbe zero sometimes unakuwaga na akili, imekaa vzr sana!
 
Tokea zama wazee wetu walishabaini jinsi gani mwanadamu alivyo dhaifu na ndio maana makabila mengi ya kiafrika kula,kukaa,kushikana mikono,kugongeana mikono etc na mama mkwe ni taboo kabisa.Tatizo siku hizi tuneleta mambo ya kileo na kuona mila kama hizi zimepitwa na wakati,kumbe zina maana kuu.Usishangae baba kusikia analala na bintie kumbe mkasa unaanzia kwenye upuuzi huu wa kukaa kilevini na kuanza kushikana mikono.

back then ulikuwa na mapwenti!
 
Acha kudanganya watu wewe aliyekwambia mila zetu Ziko hivyo Ni Nani?Kama hujui kitu Ni bora kufanya uchunguzi kwanza

Usikurupuke Dogo. Soma katikati ya mistari utapata maana.

Bazazi!
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??

Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

" Tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu
mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia; ili
kwamba usiwe uovu kati yenu." - mambo ya walawi 20:14

Sent using wireless by wire
 
Dunia na vimbwanga vyake!
'
Hivi inakuaje unamtamani mama mkwe?Unaanzaje?
 
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!

Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??

Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?

Angekuwa baba mkwe ingejuwaje??? Achana na ujinga huo.
 
Je kuna ubaya mkeo akimpa tamu baba yako?
 
mliooa kwa mabinti mna kazi...lakini waliooa kwa wazee, heshima iko mbele
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom