Unajua wengi hapa wana sura za mama wakwe zao kichwani ndio maana wanapinga hii hoja na kusingizia laana etc. Wengi mama wakwe zao wameshazeeka, kwa kifupi hawalipi. Sasa, wao wakiimagine kutembea na hao vikongwe, wanaona haiji, ndio maana kila mtu anasema laana. Kwa kifupi, uzinzi ni uzinzi tu. Ukitembea nje ya ndoa umezini. Haijalishi umezini na nani. Kama mama mkwe analipa, wewe kula, lakini ukijua kabisa kwamba umezini. Na uzinzi ni dhambi!
Ukianza kuhalalisha mambo hivi, hutaishia hapo ndugu yangu Zero...utaendelea hadi kwa dada zako kama wanalipa utasema uzinzi ni uzinzi tu....utafika mpaka kwa mama yako kama bado yupo fit...utasema mbona mbuzi hawana cha mama wala nani ni mchanganyiko tu after all ni uzinzi tu...hutaishia hapo utaenda mpaka kwa binti zako....utadai ni dhambi tu....>! mimi na sema ndiyo, uzinzi ni dhambi lakini unamipaka yake mkubwa!
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!!
Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza viswaviswali tu ili mradi aulize!! Then kila siku anataka mkae "kiwanja" na kupata maji na nyama choma...halafu akipiga ulaji tu basi mama balaaa, maneno yoote yeye, kila dakika anataka "kugonga na wewe"....kah!! washkaji wanajua Shekhe napeleka mbuzi kibla kumbe wala!! Mwenzenu mie mgeni mambo hayo...sasa wanajamii hebu nipeni mawazo, kuna ubaya kama nikimpelekea mama moto??
Mie mgeni njini hapa jamani, inakubalika?
Hahaha hapa umenena.. Ila kama analipa .. Unamwavhia nani?? KulaUnajua wengi hapa wana sura za mama wakwe zao kichwani ndio maana wanapinga hii hoja na kusingizia laana etc. Wengi mama wakwe zao wameshazeeka, kwa kifupi hawalipi. Sasa, wao wakiimagine kutembea na hao vikongwe, wanaona haiji, ndio maana kila mtu anasema laana. Kwa kifupi, uzinzi ni uzinzi tu. Ukitembea nje ya ndoa umezini. Haijalishi umezini na nani. Kama mama mkwe analipa, wewe kula, lakini ukijua kabisa kwamba umezini. Na uzinzi ni dhambi!
Newton 3rd law of motion " at every action, there is equal and oppsite reaction"; Je ktk maisha ya kawaida hay mambo yanawezekana? Pima then amua kwani kupanga ni kuchagua.But keep in mind that sio vyote ving'avyo ni dhahabu.
Ila ungekuwa ni wa jamii ya KIHIMA (watutsi) halafu wewe ukawa mwanamke inawezekana kwani mke mmoja weunu ni mke wa ukoo mzima; hivyo labda ungekuwa unatoka nje kidogo ya utamaduni yaani mume wa mmoja ni mume wa ukoo mzima.Ila kwa wabantu wengi siyo hivyo.
Nakutakia upotofu mwema katika uozo (uozo ndiyo maana halisi ya ufisadi) wako.
Semesozi Salut! ni watu wachache ambao wanaweza simama na kusema hiko unachosema wewe ni mgeni, kupinga ni rahisi zaidi. Pamoja na Ugeni wako ninacho kiona unadevelop chemistry na mama mkwe. Chemistry zikisimama hazijalishi ni nani yuko mbele kama mama mkwe, dada, mama, mwanaume mwenzio au mtoto hata kama uzinzi ni uzinzi lakini zipo kesi kibao zinazohusu mambo haya.
Ukimpelekea moto mama mkwe tutakuwa hatuna radhi na wewe, manake mzazi unatengeneza chemistry wakati zikipanda hutaweza zizuia kwanini usikae mbali na mama mkwe. Mbona kabila zingine watu wanakaa mbali na wakwe zao kama Wahaya lakini wewe unagonga na Mama mkwe? sie hatumo bana